Siamini Kwamba Rais wangu can be this cheap

Inawezekana Rais hajui kuwa Madaktari wamegoma, yamerudia yaleyale kuna Mgomo yuko mwanza kwenye sherehe ya 35 ya ccm, na trip kama kawa, then kuahirisha safari kisa Msiba wa Kanumba,
Kwenye baadhi ya vyombo vya habari eti Wema Sepetu (mama maskendo) ana mgeni wake mcheza sinema wa Nigeria eti amepata apoitment ya kwenda Ikulu na huyo mgeni wake wadiscus maendeleo ya filamu nchini. Siamini, Hivi kweli Rais atadiscus nini? basata, wizara husika wako wapi? muacheni rais ashughulikie mambo makuu. Huyu role model wa waasherati ndo aende pale mahali patakatifu? ni wachumi na watu wangapi wenye michango hawapati nafasi hiyo? siamini kama mwenyeji wao atakuwa presda. siamini na nabisha hizo radio zimedanganya.
 
Ndugu yangu itabidi uamini tu. Maana kuna tofauti na akina 50 Cent, David Beckham, Mazimo, nk ambao wote ameonana nao tena nje ya nchi. Omotola Jalade ni muigizaji tena maarufu kwenye filamu za Nigeria. Tena huyo dada analipa!
 
Kweli au mnaongea tu? Siwezi kuamini kuwa Rais hana kazi za kufanya na kuamua kukutana na Wema na Omotola, tuache kuanzisha vitu ambavyo vitafanya wananchi watushangae

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mgomo kashautatua,then anahamia katika filamu kidogo.
 
Mkuu inawezekana wema sepetu anaenda kumuonyesha mh. sana huyo m-Nigeria alivyo kifaa, akifika bei poa si unajua mkulu wetu anapenda saaanaa yale mambo!!!!
 
kwa nini tunakosa uadilifu jamani! mbona mbowe anachezesha disco bilicanas!? mnajua ufuska uliopo bilkanas!? mbona hilo hamsemi! mbunge wangu wa kawe (mimi nipo mikocheni) halima mdee mbona ni mume wa esther bulaya mwanamke mwenzake! sugu mbona amempora jafaria mkewe shyrose banji (wameishi miaka 8 thts y namuita mke) na kupewa jukwaa bilicanas kumtukana jafarai matusi ya nguoni hali ya kuwa ni mbunge wa watu wenye heshima zao wa mbey mjini! slaa mbona alimuiba mke wa mtu na amemzalisha mtoto. yuko na huyo kimada hadi leo!

tunaelekea kwenye siasa za kijinga sasa. Omotola ni msani mkubwa africa ktk tasnia ya filamu. wema ametumia mgongo wa omotola kwenda ikulu. pana ubaya gani! rais lazima awavute vijana na wasanii. jueni kuwa wema ana nguvu sana kwa vijana masharobaro na masista duu. wakimuona model wao wema ikulu wataipenda ccm. jk anatumia siasa

tuna tatizo la ajira nchini. omotola kualikwa ikulu kutamfruhisha sana. akiombwa siku zijazo kushirikiana na mtz ktk filamu atakubali ili kulipa fadhila. tuache kumddhalilisha rais wetu. tuwe waungwana. kama kuna uongo kuhusu niliyoyaandika kuhusu mbowe, mdee, sugu na slaa, naomba nikosolewe.
 
Kwenye baadhi ya vyombo vya habari eti Wema Sepetu (mama maskendo) ana mgeni wake mcheza sinema wa Nigeria eti amepata apoitment ya kwenda Ikulu na huyo mgeni wake wadiscus maendeleo ya filamu nchini. Siamini, Hivi kweli Rais atadiscus nini? basata, wizara husika wako wapi? muacheni rais ashughulikie mambo makuu. Huyu role model wa waasherati ndo aende pale mahali patakatifu? ni wachumi na watu wangapi wenye michango hawapati nafasi hiyo? siamini kama mwenyeji wao atakuwa presda. siamini na nabisha hizo radio zimedanganya.

Serikali IMARA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 Inajali watu wake!!! Social Versus Economic affairs!!
 
kwa hiyo mwenzio akiamua kuwa mtenda dhambi na kujiandaa kwenda jehanamu atakapo aga dunia,na wewe kwa sababu tu umemwona mwenzio kaamua kuchukua maamuzi magumu kama hayo utacopy na kupest?!u must be an idiot!
 
Kwenye baadhi ya vyombo vya habari eti Wema Sepetu (mama maskendo) ana mgeni wake mcheza sinema wa Nigeria eti amepata apoitment ya kwenda Ikulu na huyo mgeni wake wadiscus maendeleo ya filamu nchini. Siamini, Hivi kweli Rais atadiscus nini? basata, wizara husika wako wapi? muacheni rais ashughulikie mambo makuu. Huyu role model wa waasherati ndo aende pale mahali patakatifu? ni wachumi na watu wangapi wenye michango hawapati nafasi hiyo? siamini kama mwenyeji wao atakuwa presda. siamini na nabisha hizo radio zimedanganya.
kwanza nani alikudanganya kuwa ikulu wanakaa watakatifu?then
Role model wa waasherati?! Aisee i hope you are last n only standing bongo saint!
Otherwise about Jk, lets wait n see..
 
Mkuu huwezi kujua nini kinaendelea behind the scene. Mtu pale atapata nafasi ya kuacha namba ya simu na email...teh...teh...teh..
 
jk nomaaaaaa,anafikiri wema ndio kasababisha mgomo wa madaktrari sasa antaka amuombe apunguze makali kwa huu wa walimu.taaaaabu kwelikweli
 
Kama hii ishu ni kweli, na inasound kama kweli, kwani kuna kada hapo down katokwa na mapovu WEEE kujitutumua mara mbowe mara slaa mara mdee watu wamempotezea (Aibuuu).

Narudia kwa uhakika kama ni kweli Basi imetosha yaani MNYIKA ECKO! sidhani kama baba R1 kaamua kuipita katika Tundu alilopita DIAMOND, MR BLUE, CHAZ BABA na wengine, kwani kwa tafakuri za kawaida anammendea WEMA anataka na yeye aguse Box (jamani)

pili sifa, hivi ikulu imekuwa guest house yaani toka ainGie madarakani kila anayehitaji kwenda ikulu keshaenda, ikulu ni mahaLI patakatifu alisema nyerere, hivi kweli kazi aliyonayo ni hiyo tu. mara nature ikulu mara chege, mara kada kasafiri na baiskeli toka Geita kumpongeza, mara mcheza basket...eeeiii, shame on u men!

Mbona madaktari hujawaita ikulu au ndo unaonesha jinsi ulivyo Dhaifu
walimu je hawapaswi kufika hapo? ninaongea nina hasira!

MASKINI IKULU YA TANZANIA IMEKUWA SOKONI ANATEMBELEA KILA MTU...ahhha sasa nimejua kwanini hata ofisi za WAMA ziko ikulu.
 
Back
Top Bottom