Recent content by Covid2040

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tuikubalie DR Congo kujiunga na EAC?

    Waruhusiwe tena sana.Mimi nimekaa na kufanya biashara Lubumbashi fursa ni nyingi sana na ni watu wakarimu sana.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Ila batu bakenya bakishakunywa chang'aa banakuwa na maamuzi ba kibee sana na porojo ba mingi mno.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Ni wakati wa kuujenga ukuta ktk boda ya Tanga bahari ya hindi hadi shirati ktk ziwa victoria ili tusiingialiane kabisa.Nazani itifaki itazingatiwa.Sawa mk24?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Subirini siku mkivileta vifaranga vyienu vya kuku hapa Namanga.Tutavichoma moto hadi kwenye makalio.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kesho rasmi kuanza kupigwa chanjo ya Corona

    Nasikia kabla ya chanjo wanachovya kisamvu kwanza kule ikuluni.Mk24 atujibu.
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

    Watavalishwa kanga na singlendi
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kesho rasmi kuanza kupigwa chanjo ya Corona

    Mbona na sisi tumeagiza tangawizi?
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kurusha vyombo viwili zaidi angani kutokea kituo cha Malindi

    Mbona sisi tunarusha nyungo kila siku kutoka sumbawanga na kigoma?
Back
Top Bottom