Wamasai vai zao linajulikana duniani kote ni unafiki mkubwa kujitambulisha kwa vazi la kimasai wakati huo huo unawanyanyasa, ardhi yao unamega, unataka kuwafurusha kwa nguvu.
Kwa vile vurugu za Oktoba bado amri ya Shoot to kill bado isingetolewa. Waandamaji wangekamatwa ambao walivunja sheria wangepelekwa mahakamani sio kuua.
Samia ana chuki na watu wa bara.
Hii yote ni kwa sababu ya muungano wa kipumbavu. Wabara ni wabara na wa visiwani ni wavisiwani hatuna hata undugu
BAVICHA tunawakumbusha Jeshi la Polisi, pamoja na wao kuonekana kutetea na kupendelea chama tawala, wakumbuke kuwa wao sio wanasiasa na wanalipwa kwa kodi za Watanzania wote hata wasio wa chama chao; wasicheze na amani ya nchi yetu.”
Yaani hii kauli ndo polisi imuite kwa mahojiano, polisi wa...
Waziri wa sanaa anaweza kukagua barabara ndio, mfano barabara inayoenda kwenye uwanja wa AFCON au labda ni fedha za mfuko wa Jimbo na barabara inajengwa kwenye jimbo lake anaweza kukagua , tunahitaji kuona serikali inashirikiana lkn inayoweka mipaka ya kazi zake.
Waziri wa ujenzi awajibike...
Hakuna cha siri hapo
Sisi wabara huwa hatunyimani taarifa Usalama wenyewe wataanza kutuambia mtaani , maana najua kuna wazalendo, au kama vipi wanaficha ficha tuombee El nino ianzee leo ashindwe tukua atakapo rudi kutoka huko Zimbabwe
Kwa nini deal na Samia
Inasemekana Chivayo alimpa Samia fedha za kujenga hotel ya Kitakii Karatu ,huku Chivayo yeye akiwa partner na Abdul kwenye mambo ya nishati na gas.
Kabla ya hukumu ya Tundu Lissu kufika au siku kadhaa mbele, kutatokea tukio kubwa la kitaifa( ama maafa ya janga la asili, ama kiongozi wa zamani au sasa (mme au mke ) atakufa.
Hayo mambo ya kawaida sana
Sema watu huwa hawaji-exposure, kila mtu ana watu wawili au watatu katika kundi la watu kuanzia 50 ambao wanamchukia , hamsalimii na wengine kumdharau.
Kwa hiyo usifikiri ni wewe, kuhusu kuhisiwa kuwa wewe ni usalama wa Taifa ni wewe tu unavyojichukulia lbd unajadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.