Recent content by costview

  1. costview

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu analewa kupindukia. Nifanyeje aweze kuacha?

    Kaa nae karibu usimseme Wala kumgombeza mfanye awe rafiki Kuna kitu kinachomsumbua na jibu analomweyewe mfanye akuamini atakushirikisha mtapata ufumbuzi wa pamoja
  2. costview

    JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Ili lingetokea Simba ungesikia redio zote wanachambua
  3. costview

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya cha Taifa stars

    Hawa madogo tunawaona AFCON 2027
  4. costview

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya cha Taifa stars

    Katika mechi ya leo ya Taifa stars nimependa asilimia kubwa ya wachezaji wa leo ni kizazi kitakacho kuwepo kwa muda mrefu kutokana na umri wao japo matokeo sio ishu kutokana na timu ya Mongolia kisoka ni ndogo ila pia madogo kucheza vizuri
  5. costview

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Bora utoe maana unagoma sasa hivi halafu amekuoa ndio mnaanza kusema hakufishi bora kujuana mapema
  6. costview

    JamiiForums Tanzania Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Kwenye bima wamefeli kuanzia walipo toa toto afya kadi
  7. costview

    JamiiForums Tanzania Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Miti hata ziwa tanganyika kuna sehemu ukipita unaiona
  8. costview

    JamiiForums Tanzania Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

    Kwa mujibu ya kitabu Cha biblia ukahaba ulikuwepo hata kipindi Cha musa
  9. costview

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya waziri mkuu na TMA kwa hili mmechemsha

    Sio kwamba napenda majanga taarifa kama ni zoezi ilifaa itoke mapema wengine tunafanya kazi mkoani na familia IPO kigamboni unadhani nilikua kwenye Hali Gani baada ya hiyo taarifa halafu unaambiwa ni utayari je siku nyingine ai nitapuuzia kumbe ndio kweli
  10. costview

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya waziri mkuu na TMA kwa hili mmechemsha

    Habari iliyozuka Jana ya tsunami haikua na umuhimu wa kuiweka kwenye mitandao ama kuvuja kama mlivyo fanya maana IPO siku litatokea kweli na watu wakapuuzia kama ni zoezi la utayari mfanye wenyewe.maana siku ni tukio la kweli kabla hatujaamini tutapuuzia kwanza mpaka tuamini maafa tayari
  11. costview

    JamiiForums Tanzania Wakati ni sasa TFF kuitafutia Stars inter-continental friendlies

    Kuna muda inabidi uchaguzi wa tff uwe wa kitaifa Ili wasikae kimazoea
  12. costview

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe kali

    Kuna bro mmoja kigoma yeye ni mzee wa kvant ,fegi na pool table anakunywa zile kvant ndogo mpaka 6 ila jamaa anakula vizuri kabla hajanywa na hua hayumbi
  13. costview

    JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Mossad ni kama tiss ya kipindi Cha Nyerere wote zama zao zimepita history Zina wabeba ila Sasa mossad wanazidiwa na WA Iran tiss nowadays wapo kisiasa so zama zinapita
  14. costview

    JamiiForums Tanzania Tff mpo kimya na taifa stars

    Hivi tff mnashindwa Nini kuomba hata mechi ya kirafiki hata Moja na tumefuzu afcon . Tuliofuzu nao wengi Wanapiga Friend match ila tff mpo kimya Nb:ilikua ni muda mzuri kwa wachezaji ambao hawapangwi mara kwa mara kuonyesha uwezo wao. Na mbinu tofauti tofauti za kocha tungeziona Timu ikitolewa...
  15. costview

    JamiiForums Tanzania Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Ambae amekulia home kwao anaona wazazi hajui furaha wanayopata Hawa watoto wanapotembelewa na watu na kupewa zawadi.vaa viatu vya mtoto yatima utampongeza mleta uzi
Back
Top Bottom