Recent content by CORONA ERASER

  1. CORONA ERASER

    Umuhimu wa business plan

    sasa umeshindwa nini kuweka bei mbele ya kila kimoja?
  2. CORONA ERASER

    Jinsi ya kujinasua kutoka katika jela ya nyumba za kupanga

    i mean tshs 300 inaweza kuwa total cost ya tofari moja mpaka dar. nommally hizi tofari sio kubwa sana inaweza kuwa nusu ya tofari la saruji. but you can imagine the price unayopata plus advantage ya kudumu kwa tofari hizi za kuchoma.
  3. CORONA ERASER

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    jinsia: mwanaume umri: middle 30s shughuri: ajira/biashara elimu: graduate dini: mkristu kimo: mrefu rangi: black mtoto: sina mwanamke nimtakaye umri: below 32 mtoto: asiwe na mtoto kabisa rangi: mweupe/maji ya kunde dini: mkristu elimu: form 4 and above shuguri: awe nayo au awe tayari...
  4. CORONA ERASER

    WAKE ZETU TUFANYAJE TUELEWEKE

    Mkuu hizo ni chachandu tu za kwenye ndoa, bila hivyo mnaweza kosa hata neno la kuongea hapo ndani. kikubwa wewe baki kuwa mwaminifu tu.
  5. CORONA ERASER

    Prado Diamond: Bei sawa na bure

    NAONA UMETOKA KUINGÁRISHA UKASAHAU KURUDISHIA PLATE NAMBA NDIPO UPIGE PICHA.
  6. CORONA ERASER

    Jinsi ya kujinasua kutoka katika jela ya nyumba za kupanga

    Kwa kuongezea wadau hapo msata tu kuna tofari za kuchoma na zinauzwa tsh 80-100 kwa tofari moja. kusafirisha mpaka dar sidhan kama itafika tshs 300/tofari moja. sijui kwa nini dar tofari za kuchoma hazitumiki sana.
  7. CORONA ERASER

    Niliponea chupuchupu baada ya kula limbwata lenye sumu

    pole na hongera kwa kuruka mtego
Back
Top Bottom