Recent content by CORINTHIANS

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msukuma wa Geita azomewa

    :A S shade:
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bush stars na Born Town first eleven.....

    Dhuuu mie nilikuwa navunjika mbavu pale inapotokea mtu kachezewa rafu yaani lile vumbi linavyokua dhuu yaani ni kwato na vi nyota nyota dhaaa kaka you made may day baada ya stress za TRA filling
  3. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    KURA YANGU NITAMPATIA KWA KWELI KWA HOTUBA HII I think Jamaa ana malengo mazuri ya siku za usoni kwa TZ yetu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Duh, Kweli jamaa naona alikuwa amejiandaa kweli kweli siyo sawa na magufuli naona kweli jamaa ana ndoto ya mabadiliko
  5. C

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Yani sisi ni kama LOWASA na LOWASA kama sisi hutaweza kutulazimisha tumchukie mtu ambaye hatuoni ubaya wake Tatua mkataa mtu yoyote eti kwa sababu wewe una chuki zako binafsi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Hatuji Ng'ooo Chama chetu CCM ndo chama imara kabisa ambacho mgombea wetu ameonyesha kuwa anaafya ndo maana hata wapambe wetu na viongozi wengine wa chama tunaujasiri wa kuwakebehi na kuwadhihaki wagonjwa kuanzia wale walioko kwenye majukwaa na wale wote walioko mahosipitalini hasa wale...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Hta hivyo kama anaushahidi wa hayo yote mbona anachelewa kwenda mahakamani jamani, Vip ESCROW , meremeta , EPA na zile nyingie nyingi amezungumzia ana nae kawa kama walewale akina Dr Slaa na Prof Lipumba
  8. C

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    Joshua 1: 5-9 No one will be able to stand against you all the days of your life. As I was with Moses, so I will be with you; I will never leave you nor forsake you. 6 Be strong and courageous, because you will lead these people to inherit the land I swore to their ancestors to give them. 7 “Be...
  9. C

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hao bodaboda no naona washalambishwa viloba cvya konyaccm,
  10. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Our Living GOD is able, Go Lowasa go tupo pamoja mkubwa tunakuombea usiku na mchana as LORD said to Joshua when he was installed as Leader: No one will be able to stand against you all the days of your life. As I was with Moses, so I will be with you; I will never leave you nor forsake you. 6...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Our Living GOD is able, Go Lowasa go tupo pamoja mkubwa tunakuombea usiku na mchana as LORD said to Joshua when he was installed as Leader: No one will be able to stand against you all the days of your life. As I was with Moses, so I will be with you; I will never leave you nor forsake you. 6...
  12. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA msipokuwa makini, kikombe kipya mvinyo wa zamani

    hhhhhhhahhaa kakimbia kipindupindu kuko chichiem
  13. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA msipokuwa makini, kikombe kipya mvinyo wa zamani

    Haina shida UKAWA poa yaani kama kura ikipigwa tayari tuna uhakika wa kura yake kwa EDO, kwa mbunge wa Ukawa na diwani wa ukawa katika jimbo na kata yake. mengine baadae , lau anaweza kuambulia nafari ya Makonda nanake analea kipindu pindu katika kitengo chake
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Karinu mkuu , tumefurahi sana asate kwa kura yako kwa EDO, mbunge na Diwani yoyote toka UKAWA
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    wataosoma mwaka huuu karibu kaka mkubwa.
Back
Top Bottom