Recent content by corasco

 1. corasco

  Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

  2025 sio mbali..apambane mama asiwaamin watu jitahidi.watu wanakuaga na ndimi mbili..unafiki
 2. corasco

  New World Order: My COVID-19 Passport

  Hapo kwa expire mana yake nn?
 3. corasco

  Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

  Mambo gani hizi uchafu tu.
 4. corasco

  Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

  Dawa yake huyo kwenda nae sawa tu..mana hajui neno msamaha ..
 5. corasco

  Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

  Ganda la ndizi aka kitonga....kila la kheri na tamaa yko. Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 6. corasco

  Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

  Ha ha ha offer utoe wewe.tabu upate wewe..acha kutoa offer
 7. corasco

  Wanawake kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

  Hivi unadhani rahisi mwanamke kuconfess hisia zake kwa mwanaume..ujue ikiwa hivyo amekuheshimu sana.ukimpiga chini ni kufuli tu linatembea hakuna namna...ukiona anachecheka na wewe ujue hakukupenda sharp. Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 8. corasco

  Wanawake kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

  Bora kidogo unakua umepata airtime. Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 9. corasco

  Wanawake kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

  Umenikataa nikuchekee.sorry we can't be friends kabisa...unafiki mbaya.
 10. corasco

  Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

  Tulia dawa ikuingie..anaongea na mzazi wake
 11. corasco

  Akina dada sikilizeni niwaambie kitu..

  Umeanza uzur..umemaliza ubaya.
Top Bottom