mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
Hamna ndoa hapo tafuta pori ukanye!
[emoji23][emoji23]ila watu
Hamna ndoa hapo tafuta pori ukanye!
Katika comment zilizotumwa kwenye huu Uzi uyu ndo nimemuelewa wengine wapite kuleeeeee!!!!!!!! Sisi people tutakutana humu humu jf mkipost nyuzi zenu niwashushue na mimi.Ngoja nikusanue,ukiendelea kuilazimisha sana hiyo ishu utaikosa hiyo ndoa nakwambia tena,kinachokuja kutokea ni hivi ataanza kujiuliza hivi huyu sijamuoa ananipanda hivi kichwani je nikishamuoa je?
Dada relax kama ipo ipo tu,na kama hataki kumlazimisha haibadili chochote
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Umesema vyemaUkweli mchungu,wadada wanakuwa na presha sana na ndoa,mtu unakutana naye mara ya kwanza anaanza kukuuliza una malengo gani naye,sasa nani atasema nataka kukula tu?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
SawasawaNipo kwenye mahusiano ya miez 10, mwezi wa sita mpenzi wangu alinipromice kwenda kujitambulisha, akaniambia anasubiri kikao cha familia kwasababu mwaka huu wengi kwenye familia yao watapeleka barua. kuna wanao oa na wengine kuolewa kwa hiyo mila zao kuhusu swala la kumpelekea mtu barua hadi familia ijadili, na alinipa taarifa ya kikao kuwa kitafanyika siku ya Arobaini ya mwaka.
Kwasababu mzazi wake mmoja alifariki, hivyo kuna Arobaini ya mwaka, ndipo kikao kitafanyika na Siku hiyo yataongelewa pia mambo ya barua. Sasa jamani hadi Leo hii arobaini haijafanyika, bebi ananirusha rusha tu akidai anasubiri ndugu, hawezi kukurupuka tu ajipeleke mwenyewe ukweni.
Suala hili linafanya tugombane sana, kila nikimkumbusha ananiambia hadi ndugu hawezi fanya peke yake na ndugu zake wako mbali hadi waje siku ya arobaini.
Natamani sana akajitambulishe kwetu lakini ndio hivyo Arobaini haijafanyika hadi leo.