Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Lini uliwahusisha wakakataa?tangu lini hao kina kibatala wakatetea maslahi ya taifa? hao wapo kutetea chadema basi maslahi ya taifa siyo kipaumbele chao
Lini uliwahusisha wakakataa?tangu lini hao kina kibatala wakatetea maslahi ya taifa? hao wapo kutetea chadema basi maslahi ya taifa siyo kipaumbele chao
CCM ndo inawamaluza wasomi wetu na kuwarudisha nyuma. Job Ndugai wanadai zilikuwa zina chaji ni msomi mwanazuoni wa aina yake nchini. Darasani alikuwa kipanga genius. Angalia XCM ilivyomfanta. Kina kabudi Aidan moto wa kuotea mbali enzi hizo CCM ikamdhohofisha kielimu na kitaaluma.
Yamebaki mapoyoyo kina mwijaku yanakonfidence balaa. Hayana mshipa wa aibu Ukiyaambia hata yakunye hadharan yanakunya tu.







Wewee 😆
Tumebaki njanjajanja akina arts tunadunda tu ardhi ya Mola hii![]()
Hata uwe msomi wa kiwango cha juu dunia nzima but ukisha join ns kundi lile baaas Kwisha hbr yako!! Usitegemee kutumia usomi wako na taaluma yako!!!Kusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.
Nakumbuka Dkt. Ayub Rioba wa TBC enzi akiwa chuoni hakika alikuwa mwanazuoni na tishio la watawala enzi hizo.
Makala zake nzito ndizo zilizopelekea Raisi wa awamu ya tano kumteua kusimamia shirika la umma la TBC na wengi tulijua anaenda kutema cheche, kilichotokea ni aibu kubwa Kwa taifa mpaka leo hasikiki amebakia kuwa mhariri yaani mathalani wakiitwa wahariri nae tunamwona anaenda badala ya kutuma watoto wadogo waliopo chini yake.
Mathalani nilimwona juzi kwenye tume ya haki jinai ulipo ilipokuwa ikizungumza na wahariri.
Ebu jiulize Prof. Mruma kama alienda kujadili Jambo ambalo linausiana na mikataba alishindwa nini kuwaomba wakina Mwambukusi, Peter kibatala aende nao wakatetee mikataba hiyo?
Sasa kama walishakiuka vipengele vya mkataba, hata ungempeleka Mwambukusi angesaidia nini?!
Hata mm nashangaa mwabukusi hata niwe na kesi yangu hata ya wizi wa kuku simpi dhamana ya kesi yangu Yule ni njaaa inamsumbua ndio chazo Cha kelele zote zileMwambukusi? seriously kabisa unaona Mwambukusi ni mwanasheria wa kusimama huko Duniani??
Basi tatizo lako ni kubwa sana
Namkubali sana Prof AssadAssad alikataa kubashiwa na maCCM.
Huyu mwanasiasa ametafuta style ya kutokeaHata mm nashangaa mwabukusi hata niwe na kesi yangu hata ya wizi wa kuku simpi dhamana ya kesi yangu Yule ni njaaa inamsumbua ndio chazo Cha kelele zote zile
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unadhani mwambikusi angejibu swali Kama wanavyojibu hao jamaa?Mwambukusi? seriously kabisa unaona Mwambukusi ni mwanasheria wa kusimama huko Duniani??
Basi tatizo lako ni kubwa sana
Wako pouwa mara hata 100 Si kwa upuuzi na aibu walolitia taifa hao marubbish professorsIla Kibatala na Lissu wako poa.
Harafu kitenge na zembwera wanaoutetea mkataba ndo wameshiba?Hata mm nashangaa mwabukusi hata niwe na kesi yangu hata ya wizi wa kuku simpi dhamana ya kesi yangu Yule ni njaaa inamsumbua ndio chazo Cha kelele zote zile
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CCM wakikusomesha jifunze ku mind business zako, usiwagise. Ukijifanya kuwaletea zako wanakuteua kwenye nafasi halafu wanachukua akili yako yote waliyokusomesha tena wanakomboleza halafu wanakuacha na fuvu lako.CCM ndo inawamaluza wasomi wetu na kuwarudisha nyuma. Job Ndugai wanadai zilikuwa zina chaji ni msomi mwanazuoni wa aina yake nchini. Darasani alikuwa kipanga genius. Angalia XCM ilivyomfanta. Kina kabudi Aidan moto wa kuotea mbali enzi hizo CCM ikamdhohofisha kielimu na kitaaluma.
Yamebaki mapoyoyo kina mwijaku yanakonfidence balaa. Hayana mshipa wa aibu Ukiyaambia hata yakunye hadharan yanakunya tu.
Aliitwa Mzalendo huyu Mruma na mwenzake Osoro. Magu alijua kuishi na vichwa maji.walioshauri zifutwe si ndiyo hawa akina Mruma na wakaonekana mashujaa kweli kweli?
Hivi kwenu hakuna asili ya machizi kweli?Tangu lini hao kina kibatala wakatetea maslahi ya taifa? Hao wapo kutetea chadema basi maslahi ya taifa siyo kipaumbele chao
EtiHarafu kitenge na zembwera wanaoutetea mkataba ndo wameshiba?
EtiHarafu kitenge na zembwera wanaoutetea mkataba ndo wameshiba?