Mtoa mada itakua ulitoswa na binti wa kinyaki anayeishi sinde, ivyo kwa kua misele yako ilikua inaishia sinde ndio unakuja na kebehi. Mitaa ya uswahilini uwa haikosi mahali popote mzee. Wakati mwingine jifunze kuwa mstaarabu kwenye kutoa hoja zako.
Kazi ya jeshi inapendwa na wengi, licha ya kua amiri jeshi mkuu ila kuvaa magwanda ni ishara ya kutojiamini. Sasa sijui anamuogopa nani, au sijui anamtisha nani? Au ndio mambo ya fashion.
Ila yamempendeza, aendelee kuyavaa kwenye mat ukione yanayohusiana na jeshi
Kwa mboe ni sawa,
Ila Mbowe sio sawa.. Endeleeni kumtesa tu huko magereza kwani mtaishi milele kwenye hii dunia, hivyo kuchukua furaha za watu wanaoenda tofauti na mawazo yenu imekua ni kawaida kwenu
Sijui tunakwama wapi? Kiongozi akiwa katili na asiefuata sheria ambazo tumejiwekea ndio anakua mzalendo wa nchi.
Mungu aendelee kutenda na kumsimamia vyema Rais wetu ili aendelee kutuondolea mikono ya chuma yote ilobaki. Wote tunahitaji furaha kwenye maisha
Sijui mmelishwa nini.? Kila analosema jiwe mnalichukua kama lilivo na sasa mmeanza kumodify...
Sio mbaya maadam inapiga juu na chini tutaelewana tu...
Uzuri mwingine hakuna pa kukimbilia pale ikikupata. Acha tuendelee kupiga nyungu
Kamali alocheza mkuu wa kaya naona anaenda kuliwa.
Binafsi nilichagua kutafutia riziki porini, ila magari toka miji mikubwa yanayoingia huku uwa yamejaza sana. Hii inaonyesha watu ambao hawakuwa waajiriwa wa kudumu sasa wanarudi makwao, siamini kama wote wanaoingia kua hawana maambukizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.