Habari wanajukwaa
Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach
Afanyeje ili aweze kusaidika na interview ni ijumaa ya wiki hii
Msaada wanajukwaa
Leo taasisi mbali mbali kubwa zimehakiwa na kuchapisha taarifa mbaya kwenye mitandao ya kijamii yenye kuleta taharuki sana
Sijajua ni sababu za kisiasa au nn maana taarifa inahusu mambo ya kisiasa
Ningetuma picha ila bado taifa linantegemea nisije nikapotezwa
Hizi taasisi za fedha wanahakikisha kila mtu anaishi maskin
Wanakupa mkopo bum advance, salary advance, bado nkopo wa marehesho, line za sim nk.
Mwisho wa mwezi unabaki na 150k kama umeajiriwa houseboy wa muhindi
Huo ndo utaratibu huwezi kuanza na kipimo cha juu utaanza na kipimo cha chini then kama hakileti majibu ya uhakika ndo kinafanyika kingine
Tena kama unatumia bima hawawezi kutoa Kigali cha MRI bila kuambatanisha majibu ya awali ya x ray
Kwa hyo kuwa mpole hayo majibu ni hatua ya mwanzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.