mbona topic haindani na maelezo uliyoyatoa? tujuze huyo nabii mwingira kasemaje kuhusu mchungaji babu ktk vyombo vya habari sio ishu ya yeye kua na benk au kumiliki shule.
Siku zote kile kimjazacho mtu ndicho kimtokacho.kama mtu amezoea kunena maneno ya busara ana busara, kama ni matusi hana busara hali kadhalika wale wanaokua wepesi sana kusema kua babu ni mganga wao ni wa kundi hilo pia.na wale wanasema kua babu ni mchungaji na kuamini amepewa maono pia ni hukohuko
Namnshangaa mchangiaji mmoja anamshauri mtu kama magufuli aende chadema eti ili aweze kua rais 2015!Chadema hatumtaki.nilishamkataa tangu miaka ile ya 2005 kwa baadhi ya watu waliokua wanampa nafasi ya kuiwakilisha ccm.Hatufai kabisa ktk ngazi ya uongozi wa juu kwani ni mtu mwenye jazba na...
Sijasikia mtu yeyote aliyeripotiwa kua kafariki wakati yupo kwenye foleni ya kunywa dawa.Pia hata kama yupo haitakua sahihi kusema kua sio mungu kwani hata waliokua wanatoka misri pamoja na musa mwenyewe hawakufika ktk ile nchi ya ahadi (kaanani) ambayo mungu aliwaandalia.
Nijuavyo mimi binafsi na ktk imani yangu, Mungu alipotaka kufanya jambo lolote duniani liwe ni kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu au kushusha adhabu kwa wale waliomkosea huwa alimwangalia MTU na sio WATU.Alipotaka kuwatoa wamisri toka utumwani alimpa tuu musa maagizo,alipotaka kushusha garika pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.