Tabu kuliko zote ni kuwa bongo is corrupt in nature. Corrupt minds, corrupt thinking, corrupt actions. Lies, pretendences and sometimes criminal thinking. Will be hard to operate Uber in such environment lakini ni possible. Background check is probably the toughest challenge. But the idea is...
Wewe unazungumza habari za kufikirika kama mapicha mnayotumiwa ooh!! Flyover ubungo, jiji jipya kigamboni etc. Mpaka asubuhi leo Zimbabwe inatumia USD.
BTW yeye si kidume, kwa nn asitumie zim dollars??
Wewe unazungumza vitu gani? Hivi unafahamu Zimbabwe wanatumia hela gani kwa sasa?? Official currency ni US Dollar. Kwa nn isiwe Zimbabwe $ au T shillings au Rand??. Au na hii habari utasema iko biased. Huyu babu yenu maneno mingi lakini hakuna mashiko.
Mkuu sio kila mtu anaishi kwenye jamii za kijinga na wajinga. Hako kadunia kenu ka wajinga mind u mpo wachache sana and nithing good has ever come from that side. Just saying!!
Haina haja kupoteza muda na watu mnaoishi kane ya 17. Muendelee na kuamini mambo yenu ya kijinga ambayo hakuna hata evidence, hearsay tu na mihemko good luck.
Mkuu
Mkuu unafahamu kwa nn zamani kila shule ya sekondari iliwekwa dispensary??? Mojawapo ilikuwa ni kampeni ya kupambana na hizi imani, sasa inashangaza in 2016, vijana tena wadogo kabisa mnapiga tarumbeta za uwepo wa uchawi. Najisikia mpaka aibu to share a nationality with some of u. Kwa...
Yaani leo aibuke mtu, eti kapita Mwananyamala kukawa na miti miwili mirefu inamfuata, halafu kesho mvua kubwa imenyesha miti miwili imeanfuka barabarani basi tayari ni evidence ya kuwepo uchawi hahahahahahaha!!!!
Acheni mambo yenu ya kijinga hapa, na hii leverage ya kipuuzi eti kwq kuwa imeandikwa uchawi upo basi kama huuamini basi hata maandiko huyaamini.
Come to ur senses bro before it's too late. Watu wana genetic disorders, autism mnasingizia mkono wa mtu shame on all of u mnaoamini huu upumbavu.
Mkuu hakuna jamii ya kijinga kama ya watanzania, hakuna cha the so called wasomi, tena hata maprof, mapadri, wachungaji, wakristo, waislamu kwa wapagani, zaidi ya 99% wanaamini uchawi upo, na nguvu zake zipo it's pathetic hasa ukizingatia this is 2016!!
"Cool Runnings said: ↑
Naona wote mnauzunguka mbuyu tu, sababu kuu ya shilingi kushuka thamani ni demand kubwa ya dola, na hii inatokana na wingi wa hela chafu nchini. Linchi letu ni sehemu mojawapo maarufu ya kusafishia hela chafu. Lakini pia wezi wa serikalini na makuwadi wao 'wadosi' ndio...
Naona wote mnauzunguka mbuyu tu, sababu kuu ya shilingi kushuka thamani ni demand kubwa ya dola, na hii inatokana na wingi wa hela chafu nchini. Linchi letu ni sehemu mojawapo maarufu ya kusafishia hela chafu. Lakini pia wezi wa serikalini na makuwadi wao 'wadosi' ndio kamchezo kao. Iba halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.