Recent content by Conte Code

  1. Conte Code

    JamiiForums Tanzania MAINLAND GROUP COMPANY Dodoma ni MATAPELI

    Wachina ni WAPIGAJI..
  2. Conte Code

    JamiiForums Tanzania HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

    Lile eneo kwa sasa halifai kwa Shule ,ila kwa parking pekee pia sishauri ,pajenge majengo makubwa ya biashara plus parking ikibidi ,parking kubwa kabisa ijengwe Jangwani
  3. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

    Anaweza kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa......ikapigwa dana dana akiwa ndani... Mara paap ,msamaha wa Rais ... Sijajua maridhiano itakuwaje
  4. Conte Code

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

    Kazi ifanyike ... Waweke ushabiki Pembeni
  5. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

    Neno "chombo" limeficha utambulisho wa haraka....
  6. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Dawa ya diclopa nikinywa inanipeleka mbio

    Tumia Panadol mkuu... Diclopa ina sodium
  7. Conte Code

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanajeshi mstaafu afunga barabara ya mtaa akidai ni kiwanja chake

    Inavyonekana eneo mbele hapo aliacha kwa ajili ya hizo frem... Sijajua nini kimetokea... Kaona hakuna biashara au!?
  8. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

    550 hadi 650 itategemea na eneo la ujenzi ni wapi
  9. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Ninafungua Barbershop: Je Vinyozi Walipwe Mishahara au Wakabidhi Hesabu?

    Biashara kama hiyo bila uwepo wa muhusika kiutendaji au kiusimamizi ,kwa sasa ni kama kucheza kamari...
  10. Conte Code

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kwa mwezi Julai, Bei ya petroli yashuka kwa Tsh 96, dizeli TSh151 kwa lita

    Kwa hiyo haiwezekani kushusha ghafla ,ila kupanda ghafla....!?
  11. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Crdb wamekataa kunibadilishia hela chakavu nielekezeni pa kwenda

    Uza kwa nusu ya thamani halisi... watanunua wale wapita njia au nenda Bank Kuu
  12. Conte Code

    JamiiForums Tanzania Msuguano mkali kati ya UEFA na FIFA

    Soka na biashara kwa sasa huwezi vitenganisha ....
Back
Top Bottom