Recent content by conta

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kuinstall Android OS

    I'm afraid that's not possible. You should have android compatible device otherwise you can't do it If the device came with different OS then it might not support android
  2. C

    JamiiForums Tanzania wapi naweza ku download cracked/nulled software

    Ewisoft website builder. Thats it
  3. C

    JamiiForums Tanzania wapi naweza ku download cracked/nulled software

    Hi everyone Jamani kuna software natafuta license ya magumashi nimetumia takriban the whole day with no success Sasa nisaidieni known weblinks ninazoweza search na kupata nulled software Pirates is illigal but this is bongo, $60 is damn expensive. Please help out
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nape chukua kioo ujitazame kwa nyuma

    Nape karibu sana uchangie mjadala
  5. C

    JamiiForums Tanzania natafuta galaxy y pro duos

    Nianyo used iko katika hali nzuri sana, nimetumia kwa miezi mitatu Bei tsh 240,000 Call me on 0767659145, 0787659145
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Huu mmea unaitwaje kwa kiswahili? Maana picha yake inafanana na mimea mingine ni ngumu kuutambua vizuri Kama unajua watu wa tiba mbadala wanaoweza kuwa nao help me out, pia how do we call it in swahili
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Yah, tunaweka matunda kwenye maji moto kabla ya kuyamenya, na najitahidi kutumia vyombo vikavu (yaani vilivyooshwa muda mrefu na kukauka na kufutwa) Kupima baada ya miezi sita na mimi nimeambiwa hivyo, lakini tatizo napata dalili za typhoid kabla ya miezi sita na hivyo inabidi kupima na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika

    Malaria unayopata isiyopona ninayo mimi pia, lakini uchunguzi niliofanya unaoonyesha ni malaria inayotokana na uwepo wa typhoid fever Malaria haiponi kama kuna typhoid mwilini, mimi iko hivyo hivyo na hapa nilipo natafuta dawa ya kutibu typhoid hasa anayejua dawa ya kienyeji naomba sana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Jamani naumwa typhoid inaoonyesha dalili za kuwa sugu, maana natibu kikamilifu lakini baada ya miezi mitatu naumwa tena na nikipima nakuta typhoid ipo positive Nahakikisha nakunywa maji yaliyochemshwa, chakula cha moto, na mpaka maji ya kuoga na kupigia mswaki naweka waterguard lakini bado...
  10. C

    JamiiForums Tanzania .doc format filles turn into .exe

    That's virus infection, scan your drives with antivirus software
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu galaxy s2

    Ninayo samsung galaxy Y pro duos B5512 With android 2.2 WiFi, mini hotspot and many features (google to see all specs) Used for 2 months My price is only 200,000 Call me on 0767659145, 0787659145 Email: alphonce@alphonce.net
  12. C

    JamiiForums Tanzania Laptop ya lak 5 inatafutwa

    The guy was not serious, haven't heard from him. Seems like was kiding
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujumbe "Remove disks or other media..Press any key to restart"

    Well, lazima itakua huna cd drive kwenye hiyo laptop, ndio maana ukaeleza mambo ya kutoa hard drive ku install kwenye computer nyingine Sasa kwanza fahamu kitu kimoja, kama umetoa disk ukaenda install kwenye computer nyingine itaweza kufanya kazi tu ikiwa firmware specs zinaendana kati ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Laptop ya lak 5 inatafutwa

    Wasiliana nami, nina toshiba satellite with following specs Disk 500gb Mrmory (ram) 3GB Processor intel 2.0 duo core 15inch LCD Dvd writer WiFi Niko mwanza pia Call me on 0767659145, 0787659145 Email: alphonce@alphonce.net
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Wanaume wengi wanapenda kusaidia 'UKWENI'

    Kwa sababu ndiko inakotoka ile kitu tamu
Back
Top Bottom