Recent content by Consultant

  1. Consultant

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar walishajifunza ni vigumu kupata Urais kwa mfumo wa kawaida, hofu ni mfumo unaowekwa kulinda mamlaka yao Tanganyika hata kwa vizazi vijavyo

    Nadhahi hofu kubwa zaidi iwe ni mfumo gani uwekwe sasa kulinda maslahi ya waTanganyika ambao Tanganyika yao haipo tena Huu Muungano haupo balanced na Kiongozi wa sasa ametumia weakness zilizopo kufanya ayafanyayo
  2. Consultant

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Akina Nduguru wanaweza kucheza na maneno na wakaamua kumfunga badala ya kumhukumu kifo, ili kuwafurahisha Watesi Wanaweza kudai kwamba sheria haisemi explicitly “shall be sentenced to death” or “shall be punished with death,” na badala yake wakaungana na alichodema Katuga, kwamba dealth...
  3. Consultant

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Hakuna Uhaini pale. Kila mtu - including Katuga, Ndunguru, Mkunda na Samia - anajua Kupotezeana muda tu
  4. Consultant

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    I am now not even sure whether it will be a good or bad thing for the common Mwananchi Mapenzi ya Bwana yatimizwe..
  5. Consultant

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    Sasa hii ni nini? Kanusho au statement ya huzuni tu? Kuna voice note/video clip yoyote inayoonyesha huyu mzee akiongea maneno hayo? No demand kwa Chacha kukanusha? Kuexplain alichoongea? Kuomba radhi?
  6. Consultant

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Hii inaweza kuibua swali jipya. Kwanini hii scrutiny inaibuka awamu hii? Is it possible kwamba baadhi ya watu walikuwa wanascrunitize vile vile majina ya either “Juma or Francis etc” kipindi cha Mkapa na Magufuli na hakukuwa na significant concerns kwa sababu kulikuwa na some sort ya...
  7. Consultant

    JamiiForums Tanzania Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Wakuu wa vyombo walishaona kinachofanyika ni upumbavu tu na kukataa kwao kutokea ni meseji tosha Imagine mkuu wa chombo atokee pale na adhalilishwe kizembe kisa tu kutetea ujinga wa mtu aliyekuwa na ambitions za kuwa Air Hostess?
  8. Consultant

    JamiiForums Tanzania Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Wale mashahidi walisema si IGP, CDF wala mkuu mwingine wa chombo ambaye anaufahamu huu uhaini Majaji wa Malawi nao kama mazuzu tu na mabush Lawyers kama wengine
  9. Consultant

    JamiiForums Tanzania Lissu anajua sheria aisee, aeleza kuwaita Samia, Mpango na Majaliwa aliweka mtego

    Inawezekana hao wakuu wa vyombo waliogoma kufika ni wazalendo kweli na kimoyomoyo hawakubaliani na huu utoto na unyama unaoendelea?
  10. Consultant

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Mh. John Nchimbi kuna sehemu yupo ambapo familia yake na viongozi wa kilichokuwa chama chake wanajua Makamu wa Rais mstaafu anayelindwa na Nchi hawezi kufa au kupotea kirahisi tu
  11. Consultant

    JamiiForums Tanzania TFF yaijia juu kampuni ya Sandaland Fashion Wear kwa kutumia nembo yao bila kibali: “Tunataka maelezo”

    Hiyo nembo ipo kwenye jezi na hakuna namna isingetumika kwenye mkutano. Viongozi wa TFF waache uzwazwa na uoga wa kutetemekea viongozi bogus na wakurupukaji kama Bashite
  12. Consultant

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Mashuhuda wanasema “driver wa lile gari allmkwida driver wa Bus akawa anamvutia kwenye gari la Serikali….kwa lengo ka kuondoka nae” Hakuna driver wa Serikali anaweza kujiamulia kuchange plate number bila boss wake kujua Hakuna driver wa TARURA anawazea kubeba na kutembea na toy la Bastola...
  13. Consultant

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Nchi hii ni vituko. Yaani gari la Serikali linatumia namba fake (ironically hii ni possible kwani si ndio wasiojulikana hawa..) Driver wa Serikali anatembea na toy la Bastola? Mizaha hii
  14. Consultant

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Eda (Iddah) kwa Waislamu ni kipindi cha kusubiri ambacho mwanamke anatakiwa kukamilisha baada ya kuvunjika kwa ndoa au baada ya kufiwa na mume, kabla hajaolewa tena.
  15. Consultant

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Katuga na wahuni wenzie walikwepa kwa makusudi kuwaleta DCI, IGP, CDF na Mkurugenzi wa TISS kama mashahidi kwa kuwa wanajua cross examination ya Lissu ingewachuna ngozi Lissu aliamua kuwaita ili afanye walichokwepa na wamekimbia tena Hakuna kesi tena
Back
Top Bottom