Recent content by CONSTANTKD

  1. CONSTANTKD

    Naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya sinoray na houjue dukani kwa sasa

    Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki inbox plz, koz nataka kununua kwaajili ya biashara ya mikataba ,, mm nipo Handeni (Tanga) ...
  2. CONSTANTKD

    Naomba kujua utofauti wa pikipiki aina ya T-BETTER na HOJUE kuanzia bei zake na ubora

    Naombeni ufafanuzi kdg juu ya utofauti uliopo wa pikipiki aina ya T-BETTER VS HOJUE kuanzia bei zake kwa sasa dukani na ubora wa kila moja.
  3. CONSTANTKD

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    broo naomb unijulishee gharama za hizo mashine zote mbili ni kiac gni wasap me plz[emoji1314] +213554112320
  4. CONSTANTKD

    Jamani naombeni msaada,nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpk leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato

    Kama mada tajwa hapo juuu isemavyo[emoji jamani naombeni msaada, nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpaka leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato bc nifanyeje ili yatoke mwenye dawa au ushauri anisaidie plz
  5. CONSTANTKD

    Msaada: Nahisi kuwashwa ngozi na muda mwingine misuli inacheza

    Jamani mimi nina tatizo naomba msaada tafadhali Tatizo langu ni kwamba nahisi kama muwasho au kama vile kuna wadudu wadogo sana mithili ya utitiri(kwa kuku) wanatambaa juu ya ngozi lakini si wadudu maana siwaoni Pili naisi muda mwingine misuli ya baadhi ya sehemu za mwili inacheza. Hii ni...
  6. CONSTANTKD

    Naombeni ushauri

    Pamoja chang’aaa [emoji1303]
  7. CONSTANTKD

    Naombeni ushauri

    Nimejaribu kila mbinu kuachana na mpzwng nimeshindwa kwan sipo tyr kuwanae tena kutokana na kunistress kila kukicha , ila nimejaribu kila mbinu kuachana nae but mwisho wa ck najikuta narudiana nae ,, but in reality najifoc2 ila cmpend tena na cpo tyr kua nae kwaxx ( yy yupo tzania mm nipo nje ya...
  8. CONSTANTKD

    Sindikiza Message yako na picha ya mtoto mkale/handsome boy

    Hhhh mnazingua wanang🤣🤣🤣
  9. CONSTANTKD

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    No1’s perfect mkuu nirekebishe,
  10. CONSTANTKD

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Pa1 arf, ngoja nichek[emoji1317]
  11. CONSTANTKD

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Naombaa kuulizaa jaman ,,majina ya watahiniwa walio’omba vyuo vikuu bado hayajatoka mpk xx!!? Na kama kuna hata chuo kimoja kilichotoa bac naombeni link,ahsanteni[emoji1317]
  12. CONSTANTKD

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mbn bei ya mtumba[emoji13]
Back
Top Bottom