24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
Haifunguki mkuu.http://logorid dims.blogspot.com
nitumie namba zako
Haifunguki mkuu.http://logorid dims.blogspot.com
Yaani hata milioni unaanza. Ni mahesabu yako tu na kiwanda cha ukubwa gani unatakanaitaji kujua ili kuanzisha kiwandaa full inahitaji mtaji kiasi gani?
Niliona clip ya waziri za kilimo akisema serikali imefungua mipaka kuuza nje kwa hiyo mtu anaweza tafuta soko popote panapolipaKwa soko la sahv mahndi gunia 20alfu sijui km hyo biashara inalipa
Hbr mr Okohi, tunashukuru kwa jitihada zako za kutupa update, hata hivyo ongera kwa jitihada zako za kukamilisha ujenzi wa kiwanda cha unga, kwangu mimi nilitaka tu kukupa ushahuri kuwa utakapokuwa umekamilisha ujenzi wa majengo ya mitambo na store basi nitafute nikupe ushahuri wa mashine, katika dunia ya leo hatutumii tena roller machine kwa kukoboa kwani inakuwa na wastage kubwa ya mahindi, wastani wa gunia la kilo 108 kgs kwa roller machine utajikuta unapata kg 75 au 78 za mahindi, lakini kuna mashine za kisasa output baada ya kukoboa inakuwa kg 92 hadi 95 ktk gunia la kg 108 hii inakupa faida kubwa na tija zaidi, ukiamua kutegeneza unga wa dona machine hii ndo yenyewe, capacity yake ipo ya ton 20 kwa siku, 30tons kwa siku hadi 50tons inategemea utaaamua kutumia hammer mill au vip, hata hivyo ktka kusaga kama utaamua kutumia hammer mill ni wakati mzuli kupata vinu vizuli vya kisasa kabisa vinavyotumia motor ya HP50 vinu 3 stainless steel unga unakuwa bora sana na sio carbon steel mill,
haya bwana kazi ni kwako, thanks
Mkuu naomba email yako nikutafuteHabari,
Mimi nipo kama huyu mtoa post. Lkn lkn Mimi nimeshanunua machine ambayo Size 100 ya kusaga, na yakukoboa ni roller 2., nimeshanunua vifaa vya umeme vyote yaani motors, HP 30 kwaajili ya mashine ya kusaga na HP 20 kwaajili ya mashine ya kukoboa. Naweza kusema kila kitu nimeshakiandaa,
Nimeshajenga pa kuweka machine ila hizi mashine zangu sio mashine za kuchimbia na kufunga.. Hizi zinastand ya kukalia chini zinawekewa mpira.. So unaweza kuweka popote hata kama pana tiles. Ni anti vibration machine. Na zimetengenezwa kwa bati Nene. Kitu ambacho naomba kumshauri mtoa post kwamba mashine za madukani Readymade sio imara. Anapaswa kutoa order ndio nzuri.
imeshajenga banda, sasa hivi nabadilisha system ya umeme maana hapa mahali pana single face naweka three face.
Hlf nafuatilia maji, maana maji no muhimu kwaajili ya kuoshea mahindi kabla ya kusaga au kukoboa.
Kumbuka mahindi huwekwa madawa huko maghalani, so bila kuyaosha unga unaweza kuleta madhara kwa walaji yaani kusababisha Cancer.
Lkn napenda kujua zaidi juu hizo mashine ulizoelezea hapo.
Kuhusu vifungashio Mimi nipo kwenue maongezi na Mohammed Enterprise, kitengo cha A-one ambao no printers Wa packaging materials.
Lkn hata akina Bakhresa wanaprint kupitia kampuni yao iiywayo Omary Packages.
Nashukuru sana.
1. Tembelea mighahawa, hotel za kawaida na mama lishe uone Kati ya sembe na Dona ni unga ùpi upo kwenye demand zaidi?Kutokana na ripoti ya umoja wa mataifa kupitia shirika la WFP, nchi zilizoko kusini mwa jangwa la sahara zinakabiriwa na ukame, hilo huenda likasababisha ukosefu wa chakula miongoni mwa jamii maskini.
Kutokana na ripoti hizo, ndipo nikaja na wazo la ujasiliamali baada ya kuona mambo ya ajira hayasomeki, ikichukuliwa sasa hivi ndo niko mwaka wa mwisho chuoni.
Kama habari inavyojieleza kuna mikoa yenye njaa hapa nchini kama vile Simiyu, Dodoma, Singida na kwingineko.
Kwa sasa niko Kigoma likizo-nyumbani, so wakati wa mavuno mahindi huwa bei chee huku, mfano gunia la debe 6 huwa ni Tsh 35,000/= tu. Sasa ndipo nimefikilia kwa mtaji wangu wa Tsh 1,000,000/= ambayo ni kujipinda na kuweka hela ya bumu ninaimani nitaipata.
So, kwa wakazi wa mikoa hiyo na mingine, pia wazoefu wa hii biashara ya kuchukua mahindi huku na kuyasaga unga wa dona na kuyauza mikoa hiyo siwezi kupata faida?
Nawasilisha.....
Naitaji mawasiliano yako mkuubei ya kutengeneza kinu cha kusagia mahindi cha panga 8 ni 1.5ml bila mortar (sina uhakika na spelling za mota kwa kizungu) kinu cha kukoboa ni 1.3 mpaka 1.4 bila mortar. Mortar ya 40HP ni 1.3mil that means utahitaji mbili kwa mashine zote i mean kusaga na kukoboa. Bag sealer (mashine ya kuishonea viroba) hizi ni cheap we andaa kama 250000 mpaka 300000 kwa mashine moja ila za india ni nzuri zaidi. If you need more info we ni pm mkuu nipo huko kwa muda sasa.
Asante kwa taarifa nzuri nitakutafutaNait
Naitaji mawasiliano yako mkuu
Mkuu gimmy's uko poa? Business inaendaje? Ebwana na mie napiga hatua za kuingia kwenye business hii sasa hivi, ndo nimechukua mashine zote mbili na Mungu akibariki basi mwisho wa mwaka huu niingie kwenye production!
Please tunaomba ma legend wa hii biashara muwe mnashea uzoefu wenu ili wachanga tusifanye mistakes zisizo za lazima!
Tupo kwenye offabroo naomb unijulishee gharama za hizo mashine zote mbili ni kiac gni wasap me plz +213554112320
Mashine zenu zimetengenezwa ndani ya Tanzania au nje? Mbona bei zenu zimechangamka?*WALE WANAOHITAJI* *MASHINE ZA KUKOBOA NA KUSAGA TUNAWALETEA OFA KUBWA MSIMU HUU WA MAVUNO*
Ndugu ni mashine za hapa hapa angalia na mota inayowekwa mkuuMashine zenu zimetengenezwa ndani ya Tanzania au nje ..mbona bei zenu zimechangamka