Recent content by consigliare

  1. consigliare

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kweli kabisa ndugu yangu.Huo ndio mtaji mkubwa zaidi
  2. consigliare

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    All in all kwa uzoefu wangu katika maisha ya utafutaji tujifunze pia kuwekeza katika afya ya akili maana kufirisik/kuanguka kupo sana kitakachokuweka salama ni afya yako ya akili kumudu kipindi hicho.
  3. consigliare

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Toboa macho yako yasione tena
  4. consigliare

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ifute Hotel Levy kwenye mamlaka ya halmashauri

    If uko VAT registered..otherwise ni 10% ya mapato..ila kama una lodge with less than vyumba vinne kama sikosei hulipi
  5. consigliare

  6. consigliare

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina tatizo la kuhisiwa kuwa mimi ni Afisa Usalama, tatizo ni nini!?

    Acha kuvaa kaunda suit na miwani meusi mkuu
  7. consigliare

    JamiiForums Tanzania Kijana using'ang'anie kuishi maisha ya ghali bila mipango

    Fake it mpaka kieleweke.
  8. consigliare

    JamiiForums Tanzania Somebody pray for me

    Pole sana brother.Mungu ni mwema endelea kumuamini.DM your mob no.Asante
  9. consigliare

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Treadstone iko sawa .
  10. consigliare

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tende kwa bei ya Jumla

    Ok. Nashukuru..umejua ni kwanini hili box la kg 10 ni bei rahisi zaidi ya hilo la kg 5?
  11. consigliare

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tende kwa bei ya Jumla

    Habarini wana JF!Je naweza pata wapi tende bora kabisa Tanzania kwa bei ya jumla? Natanguliza shukrani
  12. consigliare

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    Utoro Sent using Jamii Forums mobile app
  13. consigliare

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Yep..yana faida kama una mzunguko mkubwa mzigo wa tani 10 approximately maji 900 ukiweza maliza atleast kwa week ni vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. consigliare

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Maji uhai lita 12 tshs 2,900/= kiwandani as of today Sent using Jamii Forums mobile app
  15. consigliare

    JamiiForums Tanzania Safari zisizosahaulika

    Nililala mbugani mikumi mwaka 2009..ila dah
Back
Top Bottom