Recent content by Conq'ueror

  1. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Compressor ya migodini inahitajika

    Salama wadau, Nahitaji Compressor used kwa ajili ya shughuli za machimbo. Karibuni uniambie uwezo wake, aina na bei unayouza. Jambo hili ni serious. Contact: 0765999539 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Njoo Ando Roofing Products uchague coil uipendayo kisha utolewe mabati safi yenye guarantee ya hadi miaka 5

    Aliyeomba picha za mabati hzi hapa. Nimeweka na vigae bati. Karibuni
  3. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Njoo Ando Roofing Products uchague coil uipendayo kisha utolewe mabati safi yenye guarantee ya hadi miaka 5

    Kila nikijaribu kuweka picha inasema, "need a valid forum id"
  4. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Njoo Ando Roofing Products uchague coil uipendayo kisha utolewe mabati safi yenye guarantee ya hadi miaka 5

    Maisha ni nyumba. Nyumba bora yenye viwango itakufanya uishi kwa furaha. Kwa nini upoteze furaha na fedha zako kwa kuezekea mabati yanayopauka kwa muda mfupi? Njoo Ando Roofing Products uchague coil uipendayo kisha utolewe mabati safi yenye guarantee ya hadi miaka 5. Zipo pia rangi za marble...
  5. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Happy birthday YNA4

    HBD
  6. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Russia atangaza kuwa yeye ndiye mbabe wa kivita dunia nzima!!!

    Haya sasa!
  7. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Kama sasa shirika la ndege la Tanzania, ATCL linapata hasara, akiondoka Rais Magufuli itakuaje?

    Post hii si ya kupuuzia. Imenigusa sana. Hatuwezi kupata hasara mara 2 kwa kitu kimoja. Raisi wangu fungua masikio usikie
  8. Conq'ueror

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women don't have less casual sex because we're "biologically wired"

    You can't stand for sure to prove the assumptions that nurture shapes women separately. Nature and nurture have to work interchangeably as works in men. The challenges arise during developmental stages.
  9. Conq'ueror

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Casual Sex

    Mimi sasa, Mwaka 2008 nikiwa Tanga. Jioni nilitoka kazini nikawa nimekaa mbele ya nyumba ambapo baba mwenye nyumba alikuwa na kibanda cha chips. Mara ooooh! Akanambia kuna Dada kabila langu amepanga jizi hapo jirani. Nikaona siyo mbaya nimwendee tufahamiane. Nilikuta bonge la demu...
  10. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Nakipata wapi hiki kitabu?
  11. Conq'ueror

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Nilipokuwa kijana niliapa kutokuoa single mother. Kuna mama wa Mtwara (alikuwa na mtoto 1 wa kike) alininipenda sana ila nilikataa kumuoa. Haiwezekani uibe mpaka ukutwe na kidhibiti red handed. Nilimpata binti 1 tukaenda kwa wazazi hadi ndoa kanisani. Amenizalia watoto 2 mpaka sasa nina familia...
  12. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Kisasi! Visasi! Sijui kama tabia hii inakubalika kwenye nyumba zetu za ibada ambapo tumezoea kukimbilia huko kumwona aliye juu zaidi. Inanipa nafasi ya kufikiria upya maana sahihi ya watu kuwa eneo hilo huku masharti mepesi yakishindikana kutimizwa.
  13. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    [emoji22]
  14. Conq'ueror

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali hii imeshindwa kweli kuwapata kina Ben Saanane, Mwandishi wa Mwananchi na waliomwaga damu ya Lissu?

    Walitolewa shuleni kama wa Nigeria au walinaswa vijijini? Mbona nimestuka? Nielimisheni kidogo
Back
Top Bottom