Recent content by Congressman

  1. Congressman

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    TAG,EAGT mbona yako poa tu au wewe umefananisha na makanisa ya kiboko ya wachawo
  2. Congressman

    JamiiForums Tanzania KERO Wawekezaji UTT Amis hatuwezi kuuza vipande vyetu wala kuona taarifa zetu kupitia application mwezi wa pili sasa

    Application mpya ya UTT haitaki VPN mzee, tangia waiupdate. Ukitaka kutumia sharti washa data ila zima VPN ndo itafunguka.
  3. Congressman

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Achana na mawazo ya maduka utakuja kunishukuru badae
  4. Congressman

    JamiiForums Tanzania Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Duh ila JF
  5. Congressman

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    nimewahi kutumia subaru SH5 kwa miaka 4 bila shida yeyote, ni gari nzuri sana.
  6. Congressman

    JamiiForums Tanzania Matthew 26:56 “Kisha wanafunzi wote walimwacha na kukimbia.”

    Atleast hakuna mtu aliyelawiti mtoto wa miaka 9 kwa ahadi hewa za mabikira siku ya kihama
  7. Congressman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatajwa kuwa Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania

    Yes indeed, CHADEMA ni chama Kikuu cha Siasa nchini. Nakipenda sana hiki chama till end, Shime vyombo vya usalama viunge mkono CHADEMA kwani ndiyo tumaini pekee lilobaki nchini.
  8. Congressman

    JamiiForums Tanzania Huenda hizi ndizo baadhi ya sababu zilizowafanya gen z wa Tanzania kuyagomea na kuyapuuza maandamano ya haramu ya Dec.09

    Maandamano yenye kibali ndiyo yapi? Art20 ya Katiba ya Nchi imeruhusu maandamano, Sheria ya polisi jamii imetaka muandamanaji kutoa notice (Taarifa) within 48 hours. Notice ni taarifa sio kibali, kibali ni permit.. sheria imelekeza kutolewa notice. Usipotoa notice haitazuiliwa ila utakosa...
  9. Congressman

    JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

    It make senses
  10. Congressman

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    Morogoro sehemu gani
  11. Congressman

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi?

    Makomborero
  12. Congressman

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Kasome Ibara ya 18 ya Katiba, acha kulialia juu ya uhuru wa maoni wa wanaume wenzako.
  13. Congressman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Maandamano ya kenya yaliuwa watu wengi kulioo mauaji ya Tanganyika? Regather your facts bro
  14. Congressman

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

    Upo sahihi Article 20 (i) ya CURT (Katiba ya jamhuri) imetoa provision ya haki ya kukusanyika, kuandamana kwa amani. Hivyo haki hii imetolewa freely bila pre condition yoyote. Police wao wanatumia sheria ya polisi na polisi jamii (Police force & Auxiliary services Act) ili kuzuia maandamano kwa...
  15. Congressman

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

    Itakuwa huyu larry madowo kauwa vijana wengi sana oct. 29.
Back
Top Bottom