Recent content by condorezaraisi

  1. condorezaraisi

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    hivi watu hawaruhusiwi kuwa marafiki
  2. condorezaraisi

    Lady ulie ndani ya ndoa ni hatua gani utafanya kuhusu michepuko

    sasa hapa si ndio malazi dabodabo ndani ya nyumba
  3. condorezaraisi

    Lady ulie ndani ya ndoa ni hatua gani utafanya kuhusu michepuko

    hii imemtokea mdogo wangu, mmewe alijua kaona na akawa mkali hamsemeshi mkewe toka siku hiyo-Eti kwa nini anapekua simu yake
  4. condorezaraisi

    I love him

    pole sana
  5. condorezaraisi

    Lady ulie ndani ya ndoa ni hatua gani utafanya kuhusu michepuko

    Mmeishi na mmeo miaka mingi ya ndoa kukiwa na ups and down za hapa na pale lakini maisha yanaenda. Siku moja unatumia Computer ya mmeo unakuta kapiga picha wanakiss na mwanamke ,zingine wamekumbatiana na zingine wanafungana zip za jeans wakiwa Beach ukamwambia mkasolve na kukanyana maisha...
  6. condorezaraisi

    Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Hili baba linataka kumuua mkewe kwa presha yaani linampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Ndoa ngumu looh
  7. condorezaraisi

    Lupita Nyon'go Mwanamke Mkenya mwenye mvuto zaidi duniani 2014

    jamani asante kwa jibu hilo kweli maybe namuonea wivu kwa mafanikio aliyo nayo ila sio uzuri ..sijikoboi
  8. condorezaraisi

    Muzee anapenda mambo ya ushirikina ..mpeni ushauri

    Wadauz mambo yenu jamani na huu mchakato wa kupata katiba mpya unavyosumbua akili zetu .. Rafiki yangu anatatizo linalomyima raha na usikungizi hata kutamani kuikimbia ndoa yake.. yeye ni mtu aliyelelewa na kukulia katika misingi ya dini na kuamini mungu ni kila kitu kwake .. Baada ya kuingia...
  9. condorezaraisi

    Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

    Swali lako nilitaka kulileta hapa kama malalamiko ya mama mmoja tukiwa kwenye maongezi ila kwa vile umeuliza ngoja niweke hii Query kutoka kwa huyu mwanamama Ni mama wa watoto wawili mapacha kwa sasa wana miezi tisa,,ni mfanyakazi na anaondoka kwake saa moja kuelekea kazini na kurudi saa 11:30...
  10. condorezaraisi

    I am looking for web designer

    Habarini za kazi wana JF Please naomba kama kuna web designer hapa anijulishe have great day!
  11. condorezaraisi

    Kifo cha Steven Kanumba Kimedororesha Tasnia ya Filamu Tanzania

    kwa sasa hawawezi tena kujijua walikoingia wanaenda kwisha Kisanii
Back
Top Bottom