Recent content by CONCRETE NAIL

  1. C

    JamiiForums Tanzania Halotel (Viettel) inavyowanyanyasa na kuwanyonya watanzania

    Hili likampuni ni jipu lingine!, watanzania tunadharauliwa Sana!, no wakati Wa kurudisha heshima yetu ndio huu!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Dah!, we jamaa mchokozi kweli ....
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kingunge kukutana na Wanahabari kesho saa 5 asubuhi Serena Hotel kujibu Mapigo

    Mafuriko ndio hayo sasa ................
  4. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Vyovyote iwavyo lengo letu ni mabadiliko, CCM ing'oke!. Mbowe, Mbatia, Makaidi please remain stable!. Mabadiliko tuliyoyasubiri hatuko tayari kuyapoteza. Wakati ni sasa!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

    Kuanzia sasa kila mmoja wetu na amuite Dr. Freeman Mbowe. Hakika itakuwa na anastahili. Jamaa ni very clever!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa asingevaa gwanda wakati wa kampeni.

    Uhauri mzuri
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Moses Mwizarubi kumvaa Lema Arusha

    Dah!, Kupitia CCM kapotea njia
  8. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

    I see him as a good Prime Minister NOT a President
  9. C

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Kama tunataka NCHI hii irudi kwenye mstari wake, tuipe CCM likizo japo miaka 10 wakajisahihishe (2015-2025). Watarudi wakiwa wamejisahihisha.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Barua ya mwananchi kwa tume ya uchaguzi kuhusu uandikishaji mbovu wa wapiga kura

    Hii Nchi jamani kwa kulalamika. Hivi hakuna wana sheria, hivi wanharakakati wapo wapi? Kama malalamiko haya ni kweli, kwa nini mchakato huu pale penye uonevuna manyanyaso wahusika wasishitakiwe mahakamani? Au kwa nini wanachi waachie mambo ya kijinga ya kuminya haki zao kwa kiwango cha kuzuiwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Viettel mkoa wa Morogoro

    Mpigie huyu dada yuko pale atakupa muongozo wa namna ya kufika pale anaitwa Ziada 0717833663
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Kwa tulipofikia mabadiliko hayazuiliki
  13. C

    JamiiForums Tanzania Contractors wa Optic Fibre wanaotoa Sub Contracts kwa local Contractors Tanzania

    Wakuu, Kwa heshima kubwa, ninaomba kujulishwa kampuni za optic fibre zinazotoa sub contracts kwa local contractors hapa Tanzania. Na contacts please. E mail au namba ya simu. Nashukuru wakuu.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Viettel Construction Vietnam watimuliwe nchini kwa uhuni wao katika ajira

    Wanajamvi wasalaaam! Fursa zipo, zinakuja, zinapita!.Tujadili. Tanzania yenye neema itajengwa na sisi!, Kinyume chake pia ni sahihi. Yatupasa kuwa jamii "responsibe". Viongozi wetu kiukweli wametuangusha. Hakuna intellijensia kwenye ajira. Hakuna informers wanaotupa jicho kwa foreign employers...
Back
Top Bottom