HILLARY CLINTON; MWANAMKE JASIRI, ASIYEKATA TAMAA, MPENDA VITA NA BINADAMU WA KWANZA MWANAMKE KUGOMBEA URAISI MAREKANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Wednesday-28/12/2022
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Jana tulimjadili Bill Clinton, leo tutamuangazia mkewe, mwanamke aliyeweka historia ya kuwa...
https://youtu.be/DfwL5QaP64Q?si=VfdAw3erDx0hThYP
Uchambuzi wangu UTV Azam media- morning trumpet juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na namna wanavyo itumia kofia hiyo vibaya ili kujitajirisha...
GAZA MARINE; CHANZO CHA GAZA KUWA CONCENTRATION CAMPS.
Uvamizi wa Israel "Gaza" ni mpango wa siku nyingi, sio jambo la Bahati mbaya, Kinachofanyika Gaza kina Sura mbili.... Moja mkakati wa kuimiliki "Gesi asilia inayofikia 35 BCM (35 Billion Cubic Meters), Pili kuvunja harakati ya "Pan-Islamism...
KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Monday -16/06/2025
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
UKIFANIKIWA KUMFANYA MTU AFIKIRI UNACHOTAKA BASI UMEFAULI KUMTAWALA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Sunday -8/6/2025
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Upo msemo wa kijasusi usemao "mfumo mbaya unaweza kuharibu watu wema...(A bad system can destroy good people )"
Kuna jambo moja wachambuzi wengi...
GEORGE W. BUSH; RAIS WA 43 WA MAREKANI ANAYESEMWA KUWA NA KIWANGO KIDOGO CHA AKILI (IQ), LAKINI NDIE RAIS MBABE, MKALI NA ALIYEOGOPWA ZAIDI DUNIANI, ANATAJWA KUPENDWA SANA NA KUCHUKIWA SANA MAREKANI NA DUNIANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu -CMCA
Friday-30/12/2022
Marangu Kilimanjaro Tanzania...
BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA)
Saturday-03/12/2022
Marangu Kilimanjaro Tanzania
Hii list hapa chini ni ya viongozi ambao wameacha "Athari" Ulimwenguni, athari yao imebaki kama chachu hapa...
MILIMA 10 MIREFU DUNIANI; HIZI NDIO NCHA ZA JUU KABISA ULIMWENGUNI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Saturday-04/06/2022
Kilimanjaro National Park Marangu Mtoni, Kilimanjaro Tanzania
Jana niliweka andiko kuhusu mlima Kilimanjaro, Mlima wa nne kwa urefu duniani, tulipata maswali mengi kuhusu...
UFALME WA KONGO: "WENE WA KONGO, FALME PEKEE AFRIKA ILIYOKUWA YA KWANZA KUWA NA DEMOKRASIA NA DIPLOMASIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Thursday- 9/06/2022
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania
Ufalme wa Kongo ambao ulijulikana kama "Wene wa Kongo au Kongo dya Ntotila" ni mojawapo ya falme za...
Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9 zimekusanywa katika jumla ya vyama 18 vya siasa vilivyo shiriki uchaguzi huu.
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa...
Raisi Samia kafanya ziara nchini Korea ya kusini mapema leo, ntaingusia Korea kusini kidogo leo.
Nchi ya Korea kusini ilianzishwa mwaka 918, wakati wa mgawanyiko wa maeneo ya koo tatu zilizoitwa "Three Kingdoms" koo hizo zilikuwa ni ukoo wa Goryeo, ukoo wa Silla na ukoo wa Baekje.
Koo hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.