Usiseme hivo kuna vyuo havijafunga tarehe 24 darasani 25 sikukuu
Achilia mbali hilo watu wamekaa siku zaidi ya 77 chuo yaani siku 17 zaidi ili wapate boom lapili ila hawajapata unazani wanaishije chuoni wanasomaje wanaendaje chuo wanaendeshaje maisha
SUALA LA BOOM NI CHANGAMOTO
Kuna kitu kinaitwa propaganda ya vita
Uwezo wa kivita wa jwtz ni siri kubwa sana hata katika military base zenye maghara class D876jw
Yapo underground ofsa anaeanza kuingia ni brigedia generali medani ya hadhara kama inayofanyika pale ni kwa vifaa chakavu vilivyojaa sana gharani
Silaha tegemeo...
Vatican no taifa lililopewa heshima hiyo
Inawakazi 876 tu na wote ni mapadre na watawa hakuna jeshi wala polisi kuna walinzi wa papa tu hivyo usichukulie kigezo cha Vatican katika Udini ulionekana pemba
Asante sana
Watu wengi wananiiambia kuwa kozi hiyo ni ya IT kwaio mtaani wapo wengi sana hivi naweza kumaliza nikarudi kuuza mitumba
Naomba uzoefu wako juu ya kozi hii hasa katika ajir ina compitation kubwa kama IT nyingine?
Habari wakuu,
Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea kuhusu kozi hii tafadhari.
Naombeni ushauri wakuu
Haaaaahaaaa sio mahaba nampa evidence zinazojieleza uyo jamaa ajafulia we fikiria kila mkataba wa serikali unapita kwake unazani anapiga hela shilingi ngapi?
Mtu kama huna uelewa na bora unyamaze tu
Ni bora ukae kimya uyo n chief government contracter
Mshahara wake chukua kipato chake cha mwaka afu bado mbunge bado ni lecture more than six university bado mjumbe bodi UDOM na udsm ndugu kaa kimya tu kama haujui kitu unaongea kitu usichokijua
He is my best politician ever
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.