Recent content by computerkiddy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Huduma za BOQ, Rate Build-Up na NeST kwa Wakandarasi wa Labour-Based Road Works — Bei Kuanzia TZS 50,000

    MFANO WA BOQ NA UNIT RATE BUILD-UP KWA LABOUR-BASED ROAD WORKS Kwa mkandarasi anayetaka kuona mfano wa huduma ninazotoa, hapa chini ni sample fupi ya kazi ya: Excavation of Side Drain in Ordinary Soil kwa kutumia Labour-Based Method 1. Assumptions za kazi Unit ya kazi: m³ Labourers: watu 4...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huduma za BOQ, Rate Build-Up na NeST kwa Wakandarasi wa Labour-Based Road Works — Bei Kuanzia TZS 50,000

    HUDUMA ZA BOQ, RATE BUILD-UP NA NeST KWA WAKANDARASI WA LABOUR-BASED ROAD WORKS Je, wewe ni mkandarasi wa Specialist Civil Works—Labour-Based Road Works na unapata changamoto katika kujaza BOQ, kuandaa bei za kazi au kuwasilisha tender kupitia mfumo wa NeST? Natoa huduma za kitaalamu kwa njia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania H-PYLORI, huyu mdudu ananitesa mno sina raha na maisha

    mbona wanasema ndizi nazo hazifai zina acid? ndizi mbivu kama tunda? au ndizi kama chakula? I mean ndizi bukoba?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  5. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata Logo na Social Media Posters kwa bei nafuu

    Nimependa kazi zako check your inbox... nimekucheck
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Unaweza toa list ya taasisi zinazotoa elimu bure mtandaono please?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ijue Google Ad Grant kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanahitaji mbinu bora za kuwafikia wadau, wafadhili, na jamii kwa ujumla. Moja ya fursa kubwa ambazo mara nyingi hazitumiki vya kutosha ni Google Ad Grant. Google Ad Grant ni mpango wa Google unaotoa matangazo ya bure ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    🌍 Breaking Barriers to Education: How MPOWER Financing Supports Global Students For many students around the world, the dream of studying abroad is filled with excitement, opportunity, and growth. But there’s one challenge that often feels like a locked door: access to funding. Traditional...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    Habari Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo No collateral No Cosigner Unaweza apply via this link https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz Best...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kwenda kwenye conference UK, Je nifanyeje niweze kubakia huko mazima?

    popote ili mradi uwe na ka cheki ka kuhudumia wazee. ingia youtube kuna tips kibao. wanaija wanchangamkia sana fursa hzo cozi wanapiga online... application wanafanya online interview online.... ingia youtube mkuu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kwenda kwenye conference UK, Je nifanyeje niweze kubakia huko mazima?

    ingia online usome cozi ya kuhudumia wazee.... Then omba kazi fasta utapata na work permit fasta.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Otomyiasis: Funza kuishi ndani ya sikio lako

    je nkiwa naskia filimbi masikioni na vitu kama mashine inaunguruma pamoja na kizungu zungu ni dalili za huo ugonjwa?
Back
Top Bottom