Recent content by Competitor of Philips

  1. Competitor of Philips

    Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Salama mkuu? Kwanza nikupongeze kwa wazo zuri la kutaka kuingia kwenye biashara ya ufugaji wa Nguruwe! Nitakujibu maswali yako kutokana na uzoefu wangu katika hii biashara: 1. Namna ya ufugaji bora wa kisasa: Ufugaji bora wenye tija huzingatia vitu vitatu: I. Miundombinu bora II. Lishe bora...
  2. Competitor of Philips

    Msaada: Short courses za mifugo

    Popote pale Tanzania, japo Mimi nipo Iringa!
  3. Competitor of Philips

    Msaada: Short courses za mifugo

    Habari wakuu, Naulizia mahali ninapoweza kujifunza short courses za mifugo, naomba tujuzane hapa. Mahali kozi zinapotolewa pamoja na muda wa course. Asante
  4. Competitor of Philips

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu naomba nisaidie ratio ya mchanganyiko wa lucerna katika chakula inakuwaje!,kama kuna formula nitashkuru kama utanisaidia,pia naulizia kama naweza kuchanganya lucerna na azolla kwa mara moja?
  5. Competitor of Philips

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu Os cordis,naomba kujua kama majan ya Lucerne yanafaa kutumika kama chakula cha nguruwe,na kama yanafaa yanamchango gan kwa fattening pigs? Asante
  6. Competitor of Philips

    Kelvin Twissa anaweza kuvaa viatu vya Ruge

    Well said mkuu,kwa upande wangu sijaona wakuvaa viatu vya Ruge!
  7. Competitor of Philips

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Habar wakuu,kuku wangu chotara (sasso) wanataga lakin ghafla wameanza kula mayai kwa kasi,naomben msaada nitumie njia gan kuzuia?
  8. Competitor of Philips

    Machine ya kusaga na kukoboa nafaka.

    Hiv hizi mashine zinasaga nafaka zote? Kama siya na mahindi?
  9. Competitor of Philips

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    dah!,jamaa katuchomesha mahindi!,bongo Nyoso!
  10. Competitor of Philips

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Dah!,mpk mate yamenitoka kwa huo mtonyo bro...,
  11. Competitor of Philips

    Mbegu ya Ng'ombe wa Kisasa wa Maziwa

    gharama zake zikoje mkuu?,nitafurah ukinipa mrejesho.....,
Back
Top Bottom