Ili nchi isonge mbele kukopa muhimu. Mama kopa hadi nauli ya Dar Tunduma iwe 150,000/=. Kilicho nifurahisha zaidi ni pale wanyama wanapokua na umuhimu yaani kondoo na mbuzi wanapandishwa coaster kutoka Serengeti hadi Tanga wakati wapo walimu wanao omba kuhamishwa na huambiwa wajihamishe wenyewe...
Habari za wakati huu!!!!? Na0mba kujua, nini mpang0 wa serikali ya Tanzania kuruhusu shirika la Umeme(Tanesc0) kuingiza makat0 ya shilingi 1000/= kila mwezi kwa njia ta LUKU ikiwa ni malip0 ya t0z0 ya k0di kwa kila kaya?
Na je k0di z0te za nyumba ziliz0 lipwa tarehe m0si Julai kwa njia ya...
Tangu lini mahali ikazuia watu ku0ana...!!!? Mapenzi mara z0te huwa ni ya wapendana0 wawili, wakisha shibana kihisia na kuridhiana ndip0 wawili ha0 huamua mwenyewe kujipangia utaratibu wa jinsi watakavy0 0ana pasip0 kushurutishwa na mtu yey0te yule. Hivy0 basi kama mahali ni kikwaz0 kwa wapenzi...
Utofauti kati ya mkaa na gas ni huu: mkaa ni yabisi(solid matter) na gas ni mambo ya hewa(gases matter). Hivyo basi, kwa kuwa mkaa unaonekana unapo utumia na gas haionekani labda kama ni mwangalifu utajua kwa wepesi wa mtungi. Unless otherwise, tafuta kitu kiitwacho "gas gauge regulator"...
Tandu angejua ya kuwa "nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali" hata asinge ufikia uamuzi huo. Hivi kumbe kujiua ni suluhu ya kupunguza machungu ya kuachwa.....!!!!? Ukweli ni huu: Kaona malezi ya familia yanamshinda anazugia kaachwa!!!! Hajui kuna maisha baada ya kifo? Angesoma "Luka...
Ifike kipindi serikali iamini kwamba bangi ina madhara....!!!! Unamzalisha mwanamke watoto watatu au zaidi and then unamwacha....!!! Anapo hangaika kukulelea watoto ulio mtelekezea anakutana na mwanaume anaye tokea kumjali na kumthamini, halafu unamuundia tume ya kumshika ugoni una akili...
Kwani kuingiza umeme majumbani ni lazima? Au hiari ya mtanzania? Mbona kama akili za waziri zime bunguliwa na sumu kuvu!!!!!? Itafika kipindi kila mtanzania atatakiwa kula nyama kilo 10 kwa wiki na atakaye shindwa atakaa rupango......!!!!!? Hii ndio nchi yenye uhuru it's wonderful....!!!!
Naomba kuuliza kwanini shirika hili(TANESCO)halibinafsishwi kama ilivo kwa makampuni ya simu nchini? Huenda tungeweza kununua 'unit' 100 za umeme kwa shilingi 1000/=.
Ifike kipindi serikali pamoja na shirika la umeme nchini TANESCO iuweke wazi mfumo wa malipo juu ya usambazaji wa mradi wa umeme vijijini(REA) kwani gharama zina tofautiana sana kutoka kwa mkazi mmoja na mwingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.