Recent content by commando mtozeni

  1. C

    IGP Said Mwema aongezewa mkataba

    ni kundi dogo na la watu wachache sana ambalo limeamua kututawala linavyotaka, theoretically linaonekana lina maguvu but practically they are powerless before the eyes of the masses once they determine to tell the local exploiters and l oppressors, 'enough is enough', then they will have to...
  2. C

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    ukiangalia clip hiyo kwa makini ukaisikiliza vizuri utabaini kuwa ni kitu kilichotengenezwa na wale wale waliojitumia sms za vitisho na kisha kulalamika kuwa sms hizo eti zilitumwa na baadhi ya wabunge wa chadema na baada ya viongozi wa chadema hasa kupitia marando kusema kuwa kuna mtambo...
  3. C

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    dr. kashililla, mbona taarifa uliyoitoa kwa waandishi wa habari kuhusu kuminya matangazo ya bunge ilinukuliwa kama ulivyoitoa! how comes unasema ulikuwa misquoted? kama mtayachakachua matangazo hayo itawaathiri zaidi ccm kwani taarifa zitakazokuwa zinatolewa na wabunge wa upinzani dhidi ya ccm...
  4. C

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    :yo::yo: kamanda, kwa uwezo wako wa kujenga hoja na kuisimamia unapokuwa unatutetea wanyonge ni uthibitisho tosha kuwa uwezo wako ni mkubwa sana kiasi kwamba hataungekuwa haukusoma hadi level ya chuo kikuu bado ungendelea kuwa chaguo la wengi. mbona hizo elimu zaowanazodai kuwa ni kubwa...
  5. C

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    kesi iliyofunguliwa na ccm dhidi ya Godbless Lema ilikuwa na lengo la kummaliza kisiasa lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa kwani ndio kwanza wamempa promotion na naamini mwaka 2015 ktkt uchaguzi wa ubunge jimbo la Arusha mjini mgombea wa ccm huenda akapata chini ya kura 5000 endapo tu...
  6. C

    Madiwani waliohamia Chadema toka CCM Sengerema wang'ang'ania

    tangu madiwani hao kujiondoa ccm na kujiunga cdm ni zaidi ya siku 90 kitu ambacho ni kinyume na sheria husika inavyoelekeza kwamba baada ya siku 90 kupita uchaguzi mdogo unapaswa kuitishwa. kutoitisha uchaguzi mdogo wa madiwani ni hofu ya ccm kushindwa ktk chaguzi, wanachelewesha kuitisha...
  7. C

    Ungekuwa Jaji Rwakibalira Ingekuwaje?

    judiciary ni muhimili huru kwa maana ya kwamba majaji wana kila sababu ya kufanya kazi kwa uhuru pasipo hofu ya kuingiliwa ama kushinikizwa na serikali.inapotokea jaji anashinikizwa, anapewa rushwa au anashawishiwa kutotendeka haki na yeye anakubali kufanya hivyo basi ni mapungufu yake, ni...
  8. C

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    mwanachama hana haki ya kufungua kesi kwa niaba ya mbunge wa chama chake kama hili huyo jaji alikuwa halijui sitashangaa sana maana hata The Great Hon. Tundu Lisu aliwahi kusema bungeni kuwa kuna baadhi ya majaji ni vihiyo. maamuzi haya ya court of appeal yanaweka precedent ambayo itasaidia...
  9. C

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    nadhani vyombo vya habari kama radio wanapaswa kuwa makini ktk utangazaji maana kujitangazia tu bila ya kufuata maadili ya kazi inaweza ikaivuruga jamii na kuleta matatizo kwa jamii nzima.
  10. C

    Heko CHADEMA - Wasaliti wahukumiwa kwenye mahakama ya umma

    chama chochote cha siasa hasa kinapoanza kuwa tishio kwa chama tawala lazima kikumbane na mizengwe kama vile baadhi ya viongozi kuanza kukisaliti chama hasa baada ya kurubuniwa kwa fedha na viongozi wa chama tawala au viongozi wa serikali iliyoundwa na chama tawala. endapo hali hiyo inakikumba...
Back
Top Bottom