Recent content by Colu

  1. Colu

    Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Mambo mengine yanaleta ukakasi, hilo jambo halijafanyiwa kazi bado lipo kwenye mchakato,,,,, mpaka waajiri waandike barua kwa mara nyingine ndio zikafanyiwe kazi,,, sasa hongera ya nini hasa?
  2. Colu

    RC Makonda agharamia mazishi ya Masogange

    Kwani yeye anapotangaza majina ya wenzie eti wametelekeza watoto wao hao wake zao hawasikii au hawaoni? Ndoa zao zinabaki salama? Pima uzani hapo
  3. Colu

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Kutoa mimba hakuuwi sana siku hizi,,,, kuna vifaa na utaalamu wa uhakika,,, mimba sio kigezo,,,,, taarifa ya madaktari ndio sahihi
  4. Colu

    Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Ahahahaaa anga zako bank teller,,,, ahahahaaa duniani kuna vituko,,, ndugu yangu ridhika tu hamna namna hao ndio wenye nguvu na kujiamini ni nature ya kazi na training zao,,, wao ni kazi zaidi mazungumzo labda uhisiwe wewe una tatizo ila kama umekosea kidogo unachangamshwa usirudie tena...
  5. Colu

    Zitto: Serikali inasema uongo, ni muhimu Bunge lichunguze ziliko shilingi trilioni 1.5

    Mtaalamu ndio CAG amekwishasema,,,, kifupi ni kuwa hatuna Serikali ila tuna ubabaishaji uliopitiliza
  6. Colu

    Nyerere atanisamehe sana huko aliko ila alikosea mno kuufanya Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tanzania

    Tangu 2013 hujaenda hafu unaponda? Ahahahaaa this is funny,,, mji ni mzuri sana unakua kwa kasi sana
  7. Colu

    Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Suala ni kupata umaarufu au kusema ukweli kilichopo ili watanzania tujue,,, yeye Zito ni maarufu tayari kuliko serikali ya awamu ya tano,, sema kingine labda
  8. Colu

    RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

    Huyu Headmaster ni wa siku nyingi,,, ila baada ya kutoka Malangali alienda Mzumbe high school then akateuliwa kuwa afisa elimu secondary Mbeya City Council,,, mara elimu secondary zilipopelekwa Serikali za mitaa,,,, sijui kama ndio huyo kwa cv hyo
  9. Colu

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa

    Lengo la makusanyo na budget wanapanga wenyewe Halmashauri
  10. Colu

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa

    Ukweli mtupu, mmoja yupo pale Mwanga District Council ni kada wa CCM alishindwa ubunge huko jimbo la mkoa wa Lindi kwa kweli Mh Rais anaangushwa vibaya mno,,,,,, ofisini siku tatu zilizobaki kwa wiki ni safarini hata kama family ipo mbali kazini, mafaili yanajaa ofisini,, yale yenye uhitaji wa...
  11. Colu

    RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

    Mkuu kuandika shule na hiyo ID,,,, inakutambulisha mno kumbuka ulikuwa maarufu enzi zile,,,,, ila nafurahi umenikumbusha kitambo bonge la shule yenye mafanikio chini ya Mr Seme. Ameingilia na anaingilia sana kazi zenu huyo ni kweli utaratibu wake haufai
  12. Colu

    Mtoto wa Gadafi ajiandikisha kugombea urais Libya

    Na vielimu vyenu vya kukariri mnachefua sana,,, uelewa mdogo kufananisha Tanzania na Libya? Umekera sana,,,, kwa hiyo tufananishe na Burundi, DRC, au Ethiopia au Rwanda kwa mjomba au pengine peponi? This is a Country anything can happen anytime! Changanya diplomasia yako na masuala ya ulinzi na...
  13. Colu

    Zitto Kabwe: Nitampeleka Abdul Nondo Uhamiaji tarehe 20/4/2018 kwa mamlaka yangu kama Mbunge wa Kigoma Mjini

    Upuuzi huu umeandika,,,,, upo hapo utapata posho kuna wazee waliandaa mazingira hayo wakiongozwa na hayati baba wa taifa,,,, acha dharau kwa wazee wetu na ujifunze adabu,,,, wazee walijitoa ili upate neema hiyo leo,,,,
  14. Colu

    Tujikumbushe maisha enzi ya Rais mwelewa na mtoto wa mjini Jakaya Kikwete

    Nipo tayari kwa ban aisee kwa ajili yako,,,,,, duh ofisi za umma ni za hovyo kabisa kuliko wakati wowote wa utawala nchi hii,,,, yaani bureaucracy is too much these days,,,,, kutoa maamuzi ni hovyo sana,,,, tena usirudie tena kuongea tena,,, hakuna efficiency and transparency saivi ni unafiki...
  15. Colu

    Tujikumbushe maisha enzi ya Rais mwelewa na mtoto wa mjini Jakaya Kikwete

    Laki si pesa bado Bashite anainjoy na wateule wengi wa aina yake na wafanyabiashara wa type yao,,,,, pole wewe unawaza jelo ambayo hata mimi kapuku sijafika huko
Back
Top Bottom