Hahaha nitajitahidi. Tatizo sio mtu wa kufunguka sana. Naogopa nisije nikapoteza hata urafiki. Miaka yote hii nmekua naenda nae polepole. Na ni mchunguzi kweli wa maisha yangu.kama mkuu halo awali alivyosema kuhusu wanawakevwa ki-swiss. Kila post nayopost anaiangalia. Ila nmejaribu jaribu...
Kusema kweli Mimi hii app niliitumia Mara moja tu. Na nilipompata huyo Dada nikaifuta. Ni app fulani hivi ambazo zina-hit mara moja then in a few days watu wanalose interest nayo. So, siikumbuki kiusahihi ilivyokua back in time. Ila nakumbuka kama ilikua na herufi ya capital F in blue color...
Nashukuru kwa ushauri ndugu. Ila yeye si mpenzi wa mazingira ya nyumbani kwao pia sababu kubwa ni baridi kali. Ndoto yake ni kuishi katika nchi zenye joto kiasi ndo mana ni mpenzi wa kusafiri nchi tofauti tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
2013 nilibahatika kukutana na Dada mmoja wa ki-swiss kwenye app ya Frankly chat. Huyo Dada nawasiliana nae mpaka sasa which is almost 7 years. Ni mkarimu sana na mpole sio kama Dada zetu huku bongo. Tukikaa mda mrefu bila kuwasiliana yeye huanzisha conversation. Sasa anasoma chuo huko...
Yule kijana mkubwa wa kiume wa Marehemu alisema Bibi yao alisugua tumbo na kusema kuwa kafuta kitovu alichotokea baba yao na kutowatambua hao wajukuu. Na huyu bibi hakukataa kabisa yule kijana aliposema hili! Sasa wanaposema wao hawataki Mali Bali wanaogopa mama na ndugu wa mwanamke hawatowapa...
MKUU naomba pitia vizuri uzi kuna baadhi ya maswali hujayajibu hususani kuhusu dini. Pia hatukatai kuwa umefika huko Nibiru. Kabla ya yote naomba kujua kama wewe una amini Mungu yupo na una Dini? Maana kwa maelezo yako dini ni utumwa. Halafu then nitakuuliza swali lingine…
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.