Recent content by Colly 7

  1. Colly 7

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji

    Asante kwa Makala nzuri🙏
  2. Colly 7

    JamiiForums Tanzania TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    🙏🙏Nimebarikiwa na Andiko
  3. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nishati Safi ya Kupikia Iwe Dhana Mtambuka kwa Idara zote za Serikali

    Ni kwl bajaji nyingi saivi zinatumia gesi asilia na inawasaidia sana vijana hao kwani inawapunguzia gharama ya maisha ukilinganisha na mafuta.
  4. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watanzania wanaweza kuwa wawekezaji wakubwa wa rasilimali asili ndani ya nchi yao

    Tunahitaji maamuzi magumu ili kuondokana na umaskini
  5. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maradhi yasiyoambukiza yanaweza kupungua na kuokoa mamilioni ya fedha za Serikali

    Elimu itolewe kwa watu wrote ili, Kila mmoja awe na utambuzi binafsi ili kuweza kujiepusha na maradhi hayo.
  6. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Trade stream ndiyo inayopaswa kifuatwa ili kuendana na dunia ya sasa!
  7. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Na tutakula chuya sana kama serikali haitofunguka kifikra.
  8. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Ni kwelii kabisa, mimi napendekeza itumike English kwanzia primary
  9. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
  10. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  11. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Watanzania wamekuwa wakiamini uzalendo ni kuwa maskini.
Back
Top Bottom