Recent content by Collo96

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mwanajeshi ananiganda, hataki kuniacha

    Endelea nae tu mkuu si unajua ile kaul mbiu yetu ya u will never walk alone #YNWA
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali msiwakomoe wanunuzi wa korosho

    Mkuu wasalimie hapo mbekenyera mtondo na maeneo jiran ya rwangwa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito Jeshi la Polisi

    Hawa gsm wana nn kuna nyuz moja ililetwa juz ya mpakistan akiomba ushaur kwa madhira aliyotendewa na hawa akina gharib
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimekula kichwa cha bata Leo...

    M nimependa hapo tu ulipotoa elimu ya bata kusaidia mfumo wa hewa( 02)
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Tehran Iran kwa ajili ya demu ila bado nasita

    Mkuu hongera kwakutuwakilisha kimataifa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Felix Alton vs Jerry Minja

    Felix ni shidaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Reginald Mengi kuja na simu janja za bei rahisi (IPP TouchMate), uwezo wa kukaa na chaji ni wiki nzima

    HV ile hospital aliyosema anajenga kumuenz mwanae MUTIE imeisha ...
  8. C

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Nyie ndio mnaowapa kibur na ndio maana wanazid kuboronga siku had siku angalia comment za wadau au wewe peke yako unaridhka na utendaj wao maboresho yao yaendane na maudhui ya vpnd s ubora tu wapicha najua wanapata mashnikizo kutoka chama tawala na wao watambue hii n kod ya wananch na s watawala...
  9. C

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Kuna wakat nilikuwa na mwanangu wa darasa LA 3 tunaangalia TBC mwanangu aliniuliza swal moja had Leo nimebak mdomo waz ...kuwa kwan hii steshen n ya ccm au maana kila akifungua anakuta n habar za ccm tu kwa kaul hyo had watoto wanajua kuwa hampo na usawa kifup MJIREKEBISHE
  10. C

    JamiiForums Tanzania Adui wa Rais na Taifa letu yuko karibu naye sana

    Alishasema hapangiwi na mtu .... Sikio la kufa halisikii dawa mkuu ..its a matter of time
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maji yavunjwa na kuteuliwa nyingine

    Gavana n jina au cheo maana kwa bongo namjua yule wa bot tu sasa huko mihambwe mna gavana wenu tena au n Kenya unaizungumzia mkuu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Alituahidi baada ya siku 3 MO atapatikana….

    Wa congoman wana usemi wao kuwa NGUVU YA .MAMBA KUMAHI hivyo za kuambiwa changanya na zako
  13. C

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Gari lililomteka Mo Dewji ni la nchi jirani. Kwa sasa hatuhitaji msaada wa vyombo vya uchunguzi kutoka nje. Tuviamini vyombo vyetu

    Swal LA mwisho la mwandish wa BBC naona kalikimbia kabisaaa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Utagunduaje kama uzi unaouchangia JF si wa kitoto? Ndo maana sichangii kila mada

    Halafu huu utaratibu wa kila MTU kujifanya kila kitu kizur kilikuwa zaman mmeutoa wap OMBI LANGU ukiona kitu hakikufurahish wewe jua kuna MTU kinamfurahisha ndio maana kuna mods kaz yao kuhariri
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini 90% ya Mabao ya Mbwana Samatta ni Tap-Ins.?

    Hivi mkuu lukaku anaweza kupunguza hata diffenders 2 lakn cha ajabu anachezea club bora kabisa duniani tupende vyakwetu hukuti mkenya akimkosoa mchezaj wake hata utayakuta bongo tu nimeamin usemi wa wahenga KIKULACHO.......
Back
Top Bottom