Mke wa mwanajeshi ananiganda, hataki kuniacha

Mke wa mwanajeshi ananiganda, hataki kuniacha

Wakuu

Nimejitokeza kwenu wataalamu wa haya mambo ili niweze achana na huyu mwanamke wa mwanajeshi kwa amani na usalama wangu

Ni kweli nimeshamgegeda na hapo awali sikujua kama ni mke wa mwanajeshi, baada ya kujua hivyo nimekuwa muoga sana, nimejawa hofu nikimueleza tusitishe mahusiano analia, ananibembeleza na kunipa penzi moto moto muda anaokuwa na nafasi

Hapa sina jinsi maana za mwizi ni 40, pia huyu mwanamke aliwahi niambia kuwa mumewe ni mtu hatari na katili sana hivyo tuwe makini na kuchepuka kwake kwani siku ikijulikana nitapata taabu sana au labda nihame hili jiji niache raha zote za jijini

Huyu mke wa mwanajeshi ananipenda sana, kaelewa penzi langu sana nikimuacha ataumia sana maisha, namsikitikia namuonea huruma pia
Naombeni ushauri, nikabiriane vipi na hii hali
Endelea endelea bado wako kwenye korosho hao na wengine kwenye maduka ya kubadili fedha Arusha

sema wanawake wana roho ngumu sana.mtu yuko soft sana halafu anaenda kuolewa na mtu mgumu mgumu.wa benki hamuwaoni
 
Sasa atafumua wangapi, maana kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu hata ukiwa na ngumi za chuma.
Huyo ni mke wa mtu as long as hawajapeana talaka sasa mwenzio akifumuliwa malinda utaelewa kama jamaa ana ngumi za Chuma au za plastic
 
Nasikia mmewe amepata ajali na korosho yupo hospital... ko we endele kumlindia mwenzio utamkabiz aksharud kutka ntwara
 
Endelea nae tu mkuu si unajua ile kaul mbiu yetu ya u will never walk alone #YNWA
 
Back
Top Bottom