Recent content by Collina

  1. C

    JamiiForums Tanzania KWA UOZO ULIOPO NECTA; Ponda aliona mbali kuanzisha movement ya kumn'goa Ndalichako

    ni ujinga kumlaumu dr ndalichako kwanini watoto wamefeli mitiani mana yeye pamoja na watuwake wa baraza ndyo wamesabisha wanafunzi wafeli, kazi kubwa ya baraza ni kutunga mitihani na kusahisha mitihani, wao hawashuliki na kufundisha wanafunzi au kuandaa walimu wanaofundisha wanafuzi, matokeo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    anajifanyisha 2 kuwa yeye mtoto wa mkulima vitendo hakuna!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Hakuna nyumba za viongozi zilizochomwa moto!

    clouz fm uwa wanajikomba sana kwa serikal kwenye ukwel unao husu serikal!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea,kumbe tukiamua tunaweza,kusini tumeonesha mfano huo leo hii na dunia imeona

    ndugu zangu watanzania ili 2ondokane na matatizo yote haya ya mikataba mibovu pamoja na kupora rasilimali zetu 2lizonazo na hawa mafisadi papa na nyangumi, inatubidi mwaka 2015 2fanye mamuzi magumu amboyo kimsingi ndyo yataweza ku2kombea katika serikali dhalimu na badhilifu katika kupora mali za...
  5. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    ebana we unaishi tz ama wapi?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

    ndio uwo mkuu!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa kampala international university hafai

    hapana uyo mmiliki ni mganda na ufisadi kaufanyia uko kwao?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    hilo nalo neno wanajiweka karibu na watawala ili kuficha mazambi yao yaconeka!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    yani uyo kibonde ku** namba moja katika kufanya ushabiki na mnafiki namba moja. na huwa anajifanya anajua kila kitu!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa kampala international university hafai

    Mara kumi ya uyu aliyewekeza kwenye nchi yake, kuliko hawa mafisadi we2 wanapora hela za wabongo na kuzificha kwenye account za nje na kuziondoa kwenye mzunguko wa pesa ndan ya nchi!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    Tatizo inawauma sana kusikia wanasoma tuition mtaani hii inaonyesha namna gani elimu ya bongo ilivyo magumashi!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Zilizokuwa Dawa za CCM, Ndizo Sumu Zinazoiua CCM!

    ebana mi namona uyu mkuu wa kaya hana tofauti na chifu mangungo wa msovero kwa kuingia mikataba mibovu, kama kutoa mali za uma na c 2nachukua neti, condomu.n.k
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watch ITV NOW!: Baba Wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Anazungumzia Sifa za Rais Ajaye!.

    haya matatizo 2umeyataka wenyewe 2liuwa azimio la arusha 2kaanzisha azimio la zanzibar ndlo limetofikisha hapa nchi inanyufa kibao!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    hata mimi hzi kelel e za mungano nimezichoka kama vp 2wahache na kisiwa chao coz coni hyo faida ya huo mungano kwetu watanganyika!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    uwo mfumo kristo ni upi mnao usema!
Back
Top Bottom