Haya ndio matatizo ya kufanya kazi kwa order bila kufwata taratibu za sheria. Unaambiwa fanya hichi ilihal kiko tofauti kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsikiliza yule kipa wa GOMZ leo kwenye kipind cha leo tena? Mpira ni mchezo wa makosa na kipa alidhan jamaa yupo Mbali na yeye so akawa anapoteza muda ila jamaa akamzuga chap akaugusa mpira ikawa goli na kosa la kipa ni kuuchezea mpira katikati ya goli angetakiwa atoke pembeni
Sent using...
Jaman mie mdogo kidogo kwenye maswala ya shares ila kwa elimu yangu kidogo kwa sasa tumewapa mtaji. Na kwa sasa watatoa zero dividend for short time ili mtaji ukue then ndio waanze kutoa dividend.
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Ni wakili alie angalia fursa na akaitumia vyema. Ikumbukwe hakuna wakili aliejitoa sana kwa wasanii kama yeye na ndipo alipoanza kupigia pesa huko na katika inspiration talk zake lazima azungumzie fursa alioiona kwa wasanii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.