Recent content by COKINTA

  1. C

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Magu Nimependa sana uchambuzi wako, umeonyesha uelewa mkubwa wa mambo!
  2. C

    Nimezipenda solution za January Makamba kiukweli

    Migodi ndo wanaingizia TANESCO mapato makubwa kuliko makampuni mengine na sitashangaa kusikia kwamba wana mikataba inayowalinda wasikatiwe umeme. Fumbo mfumbi mjinga mwelevu ataling'amua
  3. C

    GE2010 Don’t wish it was easier; wish you were better

    Don’t wish it was easier; wish you were better. Don’t wish for less problems; wish for more skills. Don’t wish for less challenges; wish for more wisdom. You must either modify your dreams or magnify your skills. The key to life is to become skillful enough to be able to do rewarding things. Jim...
  4. C

    GE2010 Makame hana ubavu wa kusitisha zoezi la uhesabuji kura

    Jamani tupeane mikakati, nini kifanyike, kwani ni wazi kura zimeibiwa vibaya sana. Wametumia pesa nyingi sana na wakitawala lazima wataiba sana.
  5. C

    GE2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

    Natamani Watanzania tuseme inatosha sasa na si kusubiri tukisema kuna siku Watanzania watasema inatosha. Hii ni dhahiri kabisa CCM wanatufanya sisi tuonekane ni wajinga, wapumbavu, hatuna uwezo wa kufikri wala kufanya chochote, hatuko hivyo na ndo maana tunasema haya hayakubaliki hata kidogo.
  6. C

    GE2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    CCM wengi hawamjui Mungu na jinsi anavyofanya na hivyo wengi wao hawana hofu kabisa. Naamini Mungu atasaidia haki itendeke.
  7. C

    Njia 100 za kupendana

    Njia 100 za mwanamke kumpenda mwanamke na mwanamke kumpenda mwanaume. Very useful tips, unaweza ukaboresha mahusiano yako kwa kuapply baadhi ya hizi tips, sio lazima ukubaliane na kila kitu lakini kuna vichache vyaweza kukusaidia.
  8. C

    Uongozi ni nini?

    Tumekuwa na mijadala mingi sana kuhusu viongozi wetu, wanavyoenenda na wanavyoongoza taifa letu na hata asasi mbalimbali katika jamii. Ninachojiuliza je wanajua hata maana ya kuwa kiongozi?? Kwani wengi wao wanaonekana kuwa dhaifu sana katika majukumu ya kiongozi na hata tabia za kiongozi. Wengi...
Back
Top Bottom