Recent content by CoHU

  1. CoHU

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Wale wa Journalism itakubali.
  2. CoHU

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Hio degree yako haina uhusiano na kuwa Afisa Habari, wewe ni Mahusiano ya Umma na Masoko.
  3. CoHU

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Ungesoma Mass Communication au Journalism ungeomba na kuitwa Interview ila hio degree yako haihusiani na hio kazi.
  4. CoHU

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Afisa Habari anatakiwa kuomba mtu wa Mass Communication au Journalism. Hio degree yako unatakiwa kuomba kazi za Mahusiano ya Umma na Masoko mfano Public Relation Officer au Marketing Officer.
  5. CoHU

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    Endelea kuota ndoto ukishtuka utakuwa umechelewa, wewe komaa na Ualimu wako, wenzako wanasoma programme za maana pale Open University, wanapata kazi nzuri wewe unaendelea kupiga chaki. Mimi nimesoma Undergraduate UDSM ila Postgraduate nimesoma OUT. Niliwahi kuwa na mtazamo kama wako ila baadae...
  6. CoHU

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya Tuition kwa wanafunzi wa O Level na A Level

    Mbona hujaweka kiwango chako cha Elimu? Mfano una Diploma au Bachelor degree(Specialization). Vikijulikana hivyo analetwa mtu. Mwaga sifa za hao walimu uletewe mteja.
  7. CoHU

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Kwa BAED aliechagua kuwa Mwalimu wa Geography na Civics hio sio Option ni Core.
  8. CoHU

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Hata yeye ameandika BAED(Geography and Political Science and Public Administration). Na ipo kweli UDSM na matawi yake. Hio Political Science and Public Administration anakuwa Mwalimu wa Civics ili kukamilisha masomo mawili ya kufundisha.
  9. CoHU

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Ipo Chuo kikuu cha DarEsSalaam(UDSM) na matawi yake.
  10. CoHU

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Ipo Chuo kikuu cha DarEsSalaam(UDSM) na matawi yake.
  11. CoHU

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    Ilibadilishwa mwaka 2016 tena ilikuwa 3.5 ikashushwa tena hadi 3.0
  12. CoHU

    JamiiForums Tanzania Kwa GPA ya 3.0 Diploma naweza pata nafasi Chuo Kikuu?

    Diploma ya Education ni NECTA sio NACTE.
  13. CoHU

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    Pole sana hadi uwe na GPA ya 3.0+
  14. CoHU

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Tarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
Back
Top Bottom