Kwa hiyo kozi ndo basi tena kwa Tanzania, ila somalia, Irani unasoma vizuri tu, ila kasome tuu OPEN ukasomee kitu kingine tofauti degree
Unaweza kupokelewa Kama ukiapply chuo hicho hicho ulichosoma diploma baadhi ya vyuo wanautaratbu wa kutuma maombi kwa tcu kuombea wanafunzi wao ambao GPA hazijafika vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann usijikite kwenye mambo mengine tu
Itabd coz nlisom PCB en nlipga fresh but cko interested nayoUtaratibu wa TCU ni kuwa lazima awe na GPA isiyopungua 3.0, chini ya hapo hawezi kuchaguliwa chuo chochote hapa nchi kwa ngazi ya shahada. Au kama ana Principal pass mbili (2) kwenye A-Level, basi aombe kutumia cheti cha A-Level atapata nafasi
Hii siyo awamu ya kikwetekarudie diploma upya upate GPA nzuri mkuu.......utatoboa tu.
Pole sana hadi uwe na GPA ya 3.0+
Hivi hii kitu ilibadirishwa lini??? Maana mara ya mwisho najua ilikuwa 2.7 GPA
Au mnasemaje mods wa JF
Utaratibu wa TCU ni kuwa lazima awe na GPA isiyopungua 3.0, chini ya hapo hawezi kuchaguliwa chuo chochote hapa nchini kwa ngazi ya shahada. Au kama ana Principal pass mbili (2) kwenye A-Level, basi aombe kutumia cheti cha A-Level atapata nafasi
Sio mara Zote wanafata utaratbu wa 3.0 no nimewah kushuhudia mtu anaingia chuo na GPA pungufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani kabla ya Prof. Ndalichako hajawa Waziri wa Elimu, Diploma holder wa GPA yoyote ile alikuwa anaruhusiwa kusomea ngazi ya Shahada. Baada ya Prof. Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu akishirikiana na TCU ikawekwa cut off GPA ya 3.0. Hivyo kwa sasa hivi hawezi kupata nafasi ya Shahada kwa hiyo GPA ya 2.9. Huo ndiyo ukweli wenyewe.