Recent content by CODE501

  1. CODE501

    Wimbo wa Tazama Ramani

    Huu wimbo siku hizi umebadilika? Nakumbuka kiitikio cha verse ya pili ni " majira yetu haya yangekuwaje sasa utumwa wa nchi TANU imeukomesha" na verse ya mwisho ni " ... utumwa wa nchi Karume ameukomesha"
  2. CODE501

    TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

    R.I.P Prof. Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
  3. CODE501

    Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

    “God bless the women” moja ya wimbo ninaupenda kwenye orodha ya nyimbo zake. In the middle of the night I heard her pray So bitterly and so softly, yeah She prayed for her children She prayed for their education Then she prayed for the man That left her with her children We praise heroes...
  4. CODE501

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Wanaosubiri kunyongwa huwa wanapewa matunzo tofauti na wafungwa wengine ili kusipatikane na sababu nyingine yoyote ya wao kufa Hadi adhabu ya kunyongwa itekelezwe ili wayahisi maumivu Kama walivyoyapata wale waliowaua. Ingawa Kwa mapenzi ya Mungu wanaweza kufa Kwa ugonjwa au umri mkubwa. Sent...
  5. CODE501

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Moja ya thread Bora kabisa hapa JF. Mtiririko wa maelezo unaeleweka vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CODE501

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Uzi murua kabisa huu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. CODE501

    Sitosahau maishani

    Sasa mkuu siuleze ulivyookolewa au tumsubiri chui ndio aje amalizie?
  8. CODE501

    Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

    Hii ndio point ya msingi kuelezea kwamba kweli dada Rose ametuchezea. Nilishangaa kumuona anabana miguu ili asikae uchi na kuishusha sketi yake!!
  9. CODE501

    Huyu mwanamke anakuja na binti yake mdogo wakati wa kufanya Mapenzi! Nimeshamkataza, hasikii.

    Yani kunadhambi zingine zinafanyika, shetani anakaa pembeni na yeye anajifunza.
  10. CODE501

    Mganga mfawidhi: Mtoto aliyechapwa akafariki alikuwa na majeraha mengine

    Novus Actus interveniens Sent using Jamii Forums mobile app
  11. CODE501

    Muujiza mkubwa watokea leo: Mdogo wa rafiki yangu amefufuka

    Halafu pia unawaharibia madaktari wa hospitali uliyoitaja kwamba wamethibitisha kifo cha mtu ambaye hajafa. Ungeweza kutumia njia nyingine ya kutangaza kanisa lako lakini sio njia hii inaacha maswali mengi na umejichanganya sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. CODE501

    Quran: Huyu Issa bin Maryam ni nani? Kwanini aitwe hivi?

    Anaitwa BABA ADAM Sent using Jamii Forums mobile app
  13. CODE501

    Je nitapata Lodge/Hotel nzuri maeneo jirani na Arusha Stand?? Bajeti yangu 30,000

    Kitakacho kupata uje utusimulie humu. Haiwezekani ukatoa details zote hizi za unayemuibia Sent using Jamii Forums mobile app
  14. CODE501

    Lionel Richie Hakuimba Maneno Haya ya Kiswahili Katika Wimbo wa All Night Long

    Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi huu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom