Recent content by COCOBITE

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Ila kweli hili swali ni zuri sana pia linatafakarisha sana mimi naona bora hata ingekuwa hakuna ukomo wa maisha (kifo) Lkn pia kama lengo ni kumwabudu MUNGU kwann tupitie hatua nyingi kiasi cha kushindwa kutimiza lengo? Mimi nadhani Mungu angetuumba maalum tu kwa ajili ya kumwabudu tu hakuna...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu alishapima DNA kwangu ya kiasili na ile ya kisasa. Pimeni DNA acheni upuuzi

    Hata ukipima siku hizi majibu yatakayotoka ni kusapoti tu kwamba mtoto ni wako kwa maelekezo ya JMT hivyo ni bora kutunza tu hiyo hela na ufanye mambo mengine tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Daaaah[emoji24][emoji24][emoji24]
  4. C

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Kweli kabisa unapata ila humu masihara mengi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Halafu bora ya honi mimi ninakaa jirani yangu anafuga kanga aiseeh usiombee wanaanza kupiga kelele saa tisa usiku mpaka asubuhi ni shida tupu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Na kuna lazima gani ya kupiga simu wakati honi ya gari ipo??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nateswa sana na jini mahaba

    Kula nyama ya Nguruwe kila siku Mkabidhi Yesu maisha yako umeshapona
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ughaibuni

    Sasa hapo umeandika nn
  9. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ughaibuni

  10. C

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Pamoja sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Nadhani jiongeze kidogo yeye ni mfanyabiashara yawezekana kasafirisha kuja Dar kwenye faida kubwa zaidi na ndio kakumbana na kadhia hiyo... Pia haimaanishi polisi waliokufa ndio walio mdhulumu ila kachukulia polisi wote ni walewale na kuwauwa ni kutoa ujumbe kwa haki haipo na umeona jinsi hili...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    [emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom