Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

subiri nirudi.
mimi na miliki iphone 12 pro max,XR,iphone 6,LG v40 na kandinga na najenga.
sasa kumiliki visimu vikufanye nini labda ukaonge pesa
 
Tofautisha need na necessity.Kuna aina za watu neno kiwanja kwao walishavuka zamani hawahitaji kununua kiwanja hata kama hana lakini familia yao ina uwezo wana viwanja vingi sana hawezi kuwaza ushombo wa kitu kiwanja.Tembea uone mengi mtoa mada hujatembea.

Hivi unajua Marekani,Ulaya kwa kwetu Africa nenda tu hapo Kenya na Ushelisheli unakuta viwanja hakuna na hata sehemu ya kuzikwa hana unafikiri mtu kama huyo atajitesa asiwe na simu nzuri kisa hana kiwanja.Umasikini wako wa kimawazo usimtie mtoto wa mwenzio.Ulaya kuna watu hata hatua moja ya kujenga hawezi pata lakini ana usafiri hii sio need ni necessity.

Simu zimefikia mahali sasa sio luxury ni necessity.Wakati simu za mkononi zinaingia miaka ya mwanzo ya 90 ukiwa na simu ya mkononi tu mtu anakuzodoa utamilikije simu huna kiwanja.Simu sasa hivi ni kila kitu ni computer na ni ofisi unayotembea nayo.Sasa hivi unaweza omba chuo au hata kukata ticket ya ndege au kulipia maji au umeme kwa kutumia tu simu.

Hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Asia unaweza niambia wanashobokea viwanja vya kazi gani wakati wanaishi mjini nyumba za msajili cha muhimu kwake ni usafiri na mawasiliano.

NARUDIA TENA UNALOWAZA WEWE MWINGINE ATAKUONA BADO UKO KWENYE UJIMA DUNIA YA OLD STONE AGE.ULAYA NA MAREKANI WATU HAWAWAZI KUJENGA VIWANJA HAKUNA VIMEHODHIWA NA MATAJIRI WANACHOWAZA NI KUWEKA LEASE LABDA YA MIAKA 99 AU KUNUNUA APARTMENT.
 
Anipange vipi niko nao nawaona?? unaweza kuta mtu ana pesa zake za kumwaga lakini wala hashobokei hio mi iphone ambayo privacy ya mtu ni zero!! Hivi unajua kwa nini blackberry ilikufa?? Iphone security na privacy ni zero. ukishajiingiza huko ujue ndio umejiingiza kua mtupu katika privacy.. anyway kila mtu ana vipya umbele vyake. Ila Samsung na simu nyinginezo ni salama zaidi kuliko iphone. subiri sasa hii iphone 13 iwe connected na covid vaccine 😂 😂 😂 😂
Acha iconnectiwe, na ndio maana halisi ya tecnology.
 
Nadhani ungekuwa kwanza unachunguza kama ni Fake au original maana iPhone fake mpaka 10,000 unapata.Mwisho wa kuwasilisha

jihadharini tanzania simu nyingi za iphone ni fake. au used. bei zake nirahisi sana kuliko dubai hapo ndio utaona ajabu
 
kijana
...Ana milki simu ya bei ya kiwanja kule mkoani
...anamiliki laini zaid4 na zote zna madeni
..Anamiliki nguo za gharama ukiunganisha zote kabatini unapata zaid ya milion1
....anawachanganya madem kama dj wa kisingeli, yan anawacontrol watu 10 bila wao kujijua
....ana marafiki wasap,fb, insta na bado uko normal text na mitaani&mikoani
....Kamaliza chuo
.....alpata mkopo by100%
....hataki kuondoka dar/mjini
.....hatak kazi ngumu
kijana kama huyu unamuwzesha vip? hafai hata kuaminiwa kupewa mkopo wa ujasiliamar maana tayar alivyo navyo ni mtaji tosha hawa ndyo wanaorudsha nyuma maendeleo ya hii nchi, na ndio hawa hawa wamejazana uko insta wakiuza vinguo online na kuuza sura zao wakishindana kujipost picha za location, hawa simu zao hazikos bando japokuwa hawana sources za kupata izo pesa za mabando

watu kama hawa wapo kila sehemu, na humu wapo pia hata comments zao utazitambua jinsi walivyo comment negative na hii thread, hawa hata nyuzi zao pendwa ni zile za hovyo hovyo zle senseless , hawa hawafai kuwepo JF maana wanaidharirisha maana ya great thinkers.
Wenye akili watakuelewa wasio nazo watabaki kubwabwaja tu.
 
To each his/her Own....

So long as hawakupigi mizinga.., utakuwa unafuatilia maisha ya watu..., By the way unajua wote tukimiliki viwanja havitoshi ?
 
Umenikumbusha mkuu,ile siku ya Yanga day nilienda zangu hukohuko kisemvule basi nikawa nachek mechi kwenye ki grosaly flani hivi ,kuna jamaa alikuwa anatafuta mteja wa kiwanja alikuwa anakiuza kwa laki 5 yaani nilishtuka sana
Ndo wapi kinsemvule jmn
 
Mtu kua na simu ya gharama si makosa,pengine umaridadi wake ndio unaoficha hali mbaya aliyokua nayo.
Basi ukimuona anasimu janja mtu kama wewe unapagawa
Mkuu usipangawe kwa vitu ambavyo hata Mimi naweza nikakutunuku.View attachment 1938290


NB:- wengi unao waona wana simu za iPhone wanakua na ndgu zao nchi za nje kwaiyo mtu kuimilik inakua rahis.
toa icho kistika cha apple mkuu kama inawezekana
 
Back
Top Bottom