Recent content by coco bella

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tumeshahamia Dodoma lakini...

    Kwakweli tushahamia nina mwezi mmoja Sasa nishakula kuku za baa zote Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Desemba: Christmas, mwaka mpya, ada na kodi

    Ni kweli ila mimi nimelipatia ufumbuzi niliifungua akaunti ya malengo ambayo siwezi kutoa pesa mwaka hadi mwaka inanisaidia sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    cymon taylor, Wala hujakosea kaka
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA KWENYE TUTA

    Unajua kila mtu Na anavyoweza kumjaji mtu kwenye maisha haya mimi jana nilikuwa nasafiri usiku na nilikuwa peke yangu ndio maana nikaomba msaada wa dharura kwasababu ilishawahi kutokea siku moja nimeshuka mjini saa 5 nikakosa pa kulala kwa sababu kwa Morogoro mimi sio mwenyeji kabisa ila...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA KWENYE TUTA

    Nimepata safari ya kwenda Maeneo ya KINGORWILA, MOROGORO kikazi lakini mwenyeji wangu ananiambia guest zote zimejaa hivyo inabidi nipitilize mjini na inavyoonesha nitafika usiku sana naomba msaada kwa aliyeko Morogoro mjini anisaidie kuniangalizia lodge nzuri kama mnavyojua weekend imeanza...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna vituko jamani
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Ushadumaa tayari
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    15,000/= tu
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Bora nimeliepuka
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Aiseee hajanipata bado kwa hilo hiyo pesa yangu saa hizi nishatoka CHAKO NI CHAKO kutafuta Kuku nadhani wenyeji wa Dom wanapajua
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo joka
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Wewe ndo utachomoa betri nife kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Endelea kukomaa utaona mwezi kamili
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezimiwa simu

    Sauti inatosha kabisa kashachezea block kitambo sana
Back
Top Bottom