Recent content by Cob

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole adai Erick Kabendera hajawahi kuhojiwa kuhusu utakatishaji fedha na kukwepa Kodi

    Namna sahihi ya kupungunza madaraka ya rais ni muundo was serkali ya majimbo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Magufuli ameshajitabilia kuwa ni mfungwa mtarajiwa. Inasemwa kwamba hata akifa maiti ya lazima ifike mahakamani ihukumiwe ndipo ikazokwe
  3. C

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

    Katika nchi zilizoendelea tangu ilipotambulika kuwa mtandao uliodukua mazunguzo ya mh. Membe ni Vodacom hisa za kampuni hii zingetareka/ zingeshuka bei
  4. C

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni upinzani makini wa kweli, au ni upinzani uchwara? Kasi ya JPM itaua upinzani uchwala na kuibua upinzani makini wa kweli au?

    Hatimaya P.Mayalla ndani ya project soon nawe utatafutiwa nafasi. Kila LA hero kaka
  5. C

    JamiiForums Tanzania KOROSHO: Wamedanganya tena, mara hii Majaliwa

    Waziri alliyetumbuliwa karibuni ambaye amedumu Kwa siku zisizozidi 206 alidanya kuwa kuna makampuni 6 ambayo yako tayari kununua lakini hatayaweka hadharani kwa sababu anahofia husuda. Lakini ukweli ni kwamba korosho za mwaka jana hazina mnunuzi na za msimu huu pia hazina mnunuzi lakini pia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka mitatu zaidi ya miswada 10 imepelekwa bungeni kwa "Hati ya dharura". Serikali ina hofu gani.

    Ni vigumu kumuelewa P, hajamaanisha kuwa kinachofanywa na serikali ni sahihi, tafadhali msome katikati ya mistari bila shaka utamwelewa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia upya Mikataba ya Gesi Asili

    Professor Porter was Harvard University anasema hivi "nchi yoyote duniani iwe na uwingi wowote ule wa lasilima ya asili haiwezi kuwa tajiri mpaka iwe na vitu 3 navyo in watu wenye ujuzi (skilled human resource, teknoloji, na mtaji. Tafakari
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

    Hebu angalia alivyoharibu zao la korosho. Mpaka Leo korosho zipo kwenye magodauni ya hapa Mtwara.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

    Mwisho wa utawala wa ccm ni 2020. Tanzania Kwa sasa ni kama jangwa ambalo uoto wake wa asili ni nyasi. Jangwa hili limepigwa na jua Kali kiasi kwamba nyasi zote zimekauka. Yeyote atakaetupa kishungi cha moto jangwa lote litashika moto ambao kuuzima kwake hauwezekani. 2020
  10. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti yote yaliyoandika uchambuzi wa Zitto Kuhusu ripoti ya CAG yaanza kushughulikiwa

    Kweli Sudan ya Albashiru inapiga hodi tz
  11. C

    JamiiForums Tanzania Spika amshukia CAG kuhusu matibabu yake nje ya nchi

    Je mpaka hapa alipofikia Leo kuna anae simama na Ndungai, bila shaka wote tuna simama na Process Assad. Majuzi tu kwenye press yake alimshambulia profesa kuwa ati profesa anajiona msomi sana, anajiita profesa, anajiamini sana, lakini nikama mbwa anavyojiani akiwa na bosi wake. Hizi ndizo kauli...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanaozuia mishahara kupanda ni Naibu spika na wabunge wa ccm, angalia maamuzi yao kuzima hoja wafanyakazi wasipandishiwe mishahara

    Naibu spika hajabadilisha matokeo, yupo sahihi ndivyo walivyopiga kura upande was ccm. Tunayo ya kuwaambia 2020 watumishi na wananchi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

    2020 mwisho was utawala was ccm
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?

    Hakuna anayeweza kushindana na mpango was Mwenyezi Mungu, haya yote yqnatokea kwa sababu, na watazania tusipoyazingatia Allah atatuadhibu. Haya yote yanatikea kuhitimisha utawala was ccm. 2020 ndiyo mwisho wao
  15. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikali‬, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege

    Tanzania ni sawa na jangwa ambalo uoto wake was asili ni nyasi. Kutokana na jua Kali (ukame) nyasi zote zimekauka hivyo cheche ya moto ikitupwa kwenye nyasi hizo jangwa lote litateketea2020 utakuwa mwisho was utawala wa ccm.
Back
Top Bottom