Recent content by Coach Slamah Hamad

  1. Coach Slamah Hamad

    Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Hapo hakuna ubabe! Huyo Mwalimu ni mtu dhaifu sana katika kuziface na kuzimudu changamoto zake! He’s unworthy of that post!! Waliomuweka walipata nafasi ya kumjua vizuri na kuhakiki kwamba anafaa kuwa hapo kweli?! He is Weak & Pathetic and such creatures are very dangerous, they would...
  2. Coach Slamah Hamad

    Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

    Multiple Personalities Disorder/MPD ni ugonjwa unaoathiri mfumo mzima wa ndani wa ufahamu wa Mtu/kiumbe kiasi cha kuleta matokeo Hasi kwenye mfumo wa nje wa utambuzi na mazingira. Ni mbaya zaidi pale mtu anae display symptoms za MPD nae akaanza kutoa ushauri na nasaha za muhimu kwa wengine...
  3. Coach Slamah Hamad

    *🪰Kama Nzi Hakai Juu ya Nyama Usinunue!*

    Nakuzaa mara mbili huku nakunywa juice, dear boy. 😎 My due respect pls
  4. Coach Slamah Hamad

    *🪰Kama Nzi Hakai Juu ya Nyama Usinunue!*

    Hiyo nnyaa ni matokeo ya takataka zilizochujwa mwilini mwako lakini pia ni muhimu kwenye ecosystem, which you also are part of. Kwa kifupi, What goes around comes back around, the cycle never ends.
  5. Coach Slamah Hamad

    Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Aloo! Kwamba leo hii hatujui kabisa ni utaratibu wa Nani kuingia na majina mfukoni?! Tanzanians, ni Kama wote tuko na Stockholm Syndrome!?!
  6. Coach Slamah Hamad

    Maua yanayotabasamu juu ya mzizi unaokufa

    It/He/She looks healthy and peaceful on the outside but “whatever” they hit It/Him/Her with has catch the target spot on. 1300pm Saturday upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi Not It/Him/Her direct but the branches?! ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya...
  7. Coach Slamah Hamad

    Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Hawa matone ndio wajaza vikombe vya hao wakubwa uliowataja. Mbaya zaidi wako Kama multi plug, wanatumika pia anapohitajika Mbuzi wa kafara. In any form, Usalama na Uhuru wao ni kwa Hisani, akiba haiozi.
  8. Coach Slamah Hamad

    Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Sio mbaya, his “Self” iko busy inamuandalia njia kwenye muadhara kutumia keyboard. It’s just a matter of time.
  9. Coach Slamah Hamad

    Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Sio ujinga, Nafsi yake imegoma kukaa na uchafu ndani. It just aired itself. Tumpe nafasi.
  10. Coach Slamah Hamad

    Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Unapomfuma mwizi kwenye mali yako ambayo umeweka mlinzi mwenye afya na akili timamu, husiangaike sana na Mwizi. Mmbaya wako ni huyo Mlinzi….ukiweza piga Kama unaua nyoka! Next time mlinzi mpya utakaemuweka atakua na adabu na ubunifu wa Hali ya juu kuhakikisha mali zako anazilinda. The end...
  11. Coach Slamah Hamad

    Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Huwezi kueleweka kirahisi. Makabila/Jamii/ Koo nyingi zimepoteza asili yake kutokana na muingiliano holela kupitia ndoa na mahusiano yasiyokua na muongozo wala udhibiti. Kuiga + kurithi mila, tamaduni na desturi kutoka kwa wazazi na walezi waliotokana na machimbuko tofauti tunapoteza vingi...
Back
Top Bottom