*🪰Kama Nzi Hakai Juu ya Nyama Usinunue!*

*🪰Kama Nzi Hakai Juu ya Nyama Usinunue!*

Kuna hekima ya kiafrika inayosema:
"Kama nzi hawagusii nyama, basi kuna jambo."

⚠️ Usinunue nyama ambayo hata nzi hawavutiwi nayo. Inawezekana imewekewa kemikali, imechakachuliwa au haifai kwa matumizi ya binadamu. Nzi, ingawa ni wadudu, huwa na hisia kali sana za harufu wakikataa, jiulize kwa nini.

🟢 Vivyo hivyo kwenye mboga za majani kama:
  • Sukuma wiki
  • Mchicha
  • Mnavu
  • Figiri
  • Chinese

Kama mboga hizi hazina tundu hata moja au haziliwi na wadudu usichume!
Wadudu ni viumbe wa asili na kama hawali hiyo mboga, kuna uwezekano mkubwa kuwa imepuliziwa sumu au kemikali kali isiyofaa.

Kumbuka:
Chakula salama ni kile ambacho hata viumbe wa asili huweza kula.

Share ili na wengine wajifunze kula kwa usahihi na afya!
Umenikumbuka Tricky nzuri sana..
Yaani Tulikuwa Tunaitumia Kule pemba na zanzibari na nilikuta Pia Tanga wanaitumia...

Unapomvua kasa (Kobe maji) Unamchinja Then Unasubiri Nzi wamfate kama Nzi wakifata na Wakafa au kama nzi hawasogei Basi kasa Huyo ana Sumu na Anatupwa kama Wakisogea Nzi na kuanza Kuzunguka basi inafaa Kuliwa..

Hiyo Ilikuwa Hekima Tumeikuta kwa wazee wetu na tukairithisha kwa vizazi..
 
Dr unaikubali hii?
 
🤣🤣ahaha si sahihi kwa Afya ila Kijamii Kukiwa hakuna Mkaguzi wa Hizo Mboga na Afisa Afya Hii Njia ya Kimila Hutumika Ili kujiweka sawa...

Japo kwa mazingira yenye Huduma za Afya na Mabwana afya sio njia sahihu
Sawa daktari nimekupata vilivyo🤣
 
Bila shaka dodoma
dodoma ndio mkoa wa kwanza kuwa na bucha classic zilizo timiza vigezo vyote vya usafi ((namaanisha bucha za mtaani/masokoni na sio zile za vitambi supa maketi)),zaidi ya miaka 30 nyuma huko...clouds media hili lipo katika maktaba yao, labda anatokea dodoma ya vijijini huko!
 
Mwezi mzima sijaonja nyama, sema kimoyomoyo "mizimu yangu nisaidie " kula nyama kwa raha zako.
 
Hiyo nnyaa ni matokeo ya takataka zilizochujwa mwilini mwako lakini pia ni muhimu kwenye ecosystem, which you also are part of.

Kwa kifupi, What goes around comes back around, the cycle never ends.
Nitakuchapa binti mzuri🤣
 
Back
Top Bottom