Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,042
Nakuzaa mara mbili huku nakunywa juice, dear boy. 😎Nitakuchapa binti mzuri🤣
My due respect pls
Nakuzaa mara mbili huku nakunywa juice, dear boy. 😎Nitakuchapa binti mzuri🤣
Hahahaha kaone , unaweza kua na mtoto mwenyewe 40+Nakuzaa mara mbili huku nakunywa juice, dear boy. 😎
My due respect pls
Kumbe sawima😅Hakika
NdiyoooKumbe sawima😅
Bila D mbili, mtu hawezi elewa hii comment DIVISHENI FOO Mzee wa kupambaniaHakika, utamu wa nyama vimavi kidogo
😂😂😂😂Bila D mbili, mtu hawezi elewa hii comment DIVISHENI FOO Mzee wa kupambania
Umemaliza na nimejifunza kitu sahihi,ubarikiwe,hiyo movie inaitwaje? NiitafuteMleta mada yupo sahihi na kaifikisha mada vizuri ila hajatoa ufafanuzi wa kidaktari/kitaalamu.
Iko hivi;
Kuna chemical inaitwa formalin ambayo ndiyo hutumika kuweka maiti mochwari isiharibike.
Kemikali hii hutumiwa na hawa wafanya biashara kwa ajili ya kuhifadhi minofu kama nyama na samaki. (Hii kesi iliwahi kutokea Mwanza kulalamikiwa kuwa samaki wanaweka kemikali za kuholifadhia maiti ili wasiharibike...Ndiyo hii formalin.)
Ukienda buchani ambako kunapatikana nyama,katika hali ya kawaida wadudu kama nzi walitakiwa waoneakane kwa sababu ya kuvutiwa na harufu ya nyama. But,kinyume chake unakutana na mabucha yakiwa masafi hakuna hata nzi mmoja hata kama milango ipo wazi muda wote. Ndiyo connection ya huu Uzi ulipo ambapo mleta mada The redemeer ameelezea.
Kuhusu mboga mboga ni the same.
Kinachopendwa na wadudu maana yake ni salama kwa kuliwa. Ndiyo mana tunashauri watu walime mboga nyumbani na muweke mbolea organic badala ya mbolea za viwandani kama UREA,CAN nk. Lakini pia Kuna madawa ya kuua wadudu na makemikali mengine (busters) kwa ajili ya kukuza mbogamboga. Unakuta mboga inapendeza shambani hadi unatamani uipeleke maonyesho...Hiyo kiafya haifai ila ndiyo tunakula tutafanyaje maana yake imekolea kemikali hadi wadudu wanaiogopa kuisogelea na wengine kufa.
-------------------------------------
Kuna movie ya kizungu niliangalia siku Moja,jamaa mlima tufaa(apples 🍏 ) alikuwa anafanyiwa figisu sokoni kwa sababu maepple yake Yana madoa na hayavutii kama ya wengi sokoni ambao wanafuata taratibu za afya na soko kuweka mbolea na dawa za kuua wadudu.
Jamaa alitembelewa na wanunuzi wa kimataifa siku Moja shambani kwake na kuwapa somo/darasa juu ya ulimaji wake.. kifupi jamaa alikuwa haweki mbolea Wala kemikali yoyote ya sumu na ndiyo maana matunda yake yalikuwa yanashambuliwa na wadudu.
Baada ya wanunuzi kusikia hivyo walikuwa wananunua bei mara tatu ya matunda ya wenzie hadi wenzake wakasema wewe mchawi unauza matunda mabovu lakini bei ipo juu kutuzidi ..Yeah ni movie na Ina mambo mengi ndani yake. Hiki kipande ilikuwa context tu ya huu Uzi.
Ilirushwa Azam tv kitambo kidogo,hata sijui jina lake mkuu.Umemaliza na nimejifunza kitu sahihi,ubarikiwe,hiyo movie inaitwaje? Niitafute