Recent content by cnjona

  1. cnjona

    Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

    mtapigwa Sanaa mpaka mtakapoelewa kuwa hakuna pesa rahisi rahisi.
  2. cnjona

    2022/2023 CAF interclub special thread

    vip kuhusu Azam kuanzia hatua ya pili ni kigezo gani kimetumika mkuu?
  3. cnjona

    2022/2023 CAF interclub special thread

    Nakuona unavyoona aibu leo
  4. cnjona

    Kuchelewa Jezi za Simba nani wakulaumiwa?

    Wamezinguana na vunja bei
  5. cnjona

    Hii hapa top four ya NBC premier league msimu wa 2021/2022

    Kitu Cha Arusha kimeanza kuzaa matunda
  6. cnjona

    Meddie Kagere ajiunga na Singida Big Stars.

    Kama kweli wamelamba dume
  7. cnjona

    Corona imeleta ujuaji na ujuvi kwa kila mtu

    GODZILLA, Kwa sababu mwili wako umezoea mlundikano wa vipindupindu,malaria,U.T.I., kaswende, kisonono, kichocho,vidonda vya tumbo, hivyo hata CORONA, unaiweka kundi hilo hilo, ndio maana unakuja na mawazo haya. Yaani unataka walivyokosea nchi za wenzetu kutochukua tahadhari mapema na hali yao...
  8. cnjona

    Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

    sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto. hivyo uwezo wao ndio uliishia pale. hebu jiulize unaweza kumwaminisha mwanasimba kuwa mkude ni mzuri kuliko kotei? au ndemla ni mzuri kuliko mzamiru...
  9. cnjona

    Kwanini kila mechi ya simba na yanga watu wanazimia lakini matukio hayo hatuyaoni ulaya

    tatizo hizi mechi zinachezwa zaidi na wachawi kuliko wachezaji wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. cnjona

    Kamati mpya za TFF

    duuuu yaani kamati hizo zoote wanalipwa na posho?. kumbe ndio maana wako makini sana kwenye kutoza faini kuliko kuendeleza soka. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. cnjona

    Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

    kumbe ndio maana huku mitaani wanajitapa sana kuwa serikali na TFF ni ya simba hivyo yanga hawana lolote?!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. cnjona

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    NAOMBA UNIUNGE WHATSAP GROUPS ZA BETING 0687026943 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. cnjona

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    NAOMBA NIUNGE HUKO WHATSAP GRPS ZA BETING 0687026943 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. cnjona

    Simba hatarini kupokwa pointi tatu za FA

    Naam umerekebisha vema ni kuondolewa sio kupokwa pointi.
  15. cnjona

    Haji Manara: Nitamchumbia Wema Sepetu, kutembea na boksa TFF msipobadili ratiba..

    kwani kumposa wema kuna ajabu yoyote?
Back
Top Bottom