cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
ulikuwa mchezo wa FA kati ya simba na coast union
Katika dakika ya 84 Shiboli akiwa anaenda kumsalimu kipa wa Simba SC beki wa Simba SC Novati Lufunga alimfanyia madhambi na mwamuzi wa mchezo huo kuamuru penati ipigwe kuelekea langoni mwa Simba SC, huku Lufungo akizawadiwa kadi nyekundu.''
kinachopelekea simba kuwa hatarini kupokwa pointi tatu ni kuonekana mchezaji huyo mwenye kadi nyekundu akijumuishwa kwenye kikosi cha akiba cha simba wakati hajaitumikia adhabu hiyo.
Je na kadi nyekundu nayo inachagua mechi??