WIMBO UMEIMBWA NA SALUM ABDALLAH & CUBAN MARIMBA BAND
WIMBO " MKONO WA EIDD"
Baadhi ya mashairi yake
"Ihdinaa hidina mpenzi wangu ninakupa hidina.
Ee kwa heshima Mpenzi wangu ninakupa
MKONO WA IDD"
Pouwa Ndugu NATTA WITO ni kweli huu ni upumbaffffffffff
naomba tulifuatilie, wakiita tupeane taarifa ili kama wasipoita na hii ya mwaka huu niweze kuiweka katika listi ya sehemu ambazo hazitakiwi kuombwa maana tunapoteza hela hasa ktk sehemu ambazo huwezi kuomba online.
tupeane ushirikiano wadau
Hapo nilichomsoma ni kwamba ana wivu so huwa hapendi upendeze ndo maana ukivaa mavazi ambayo wenzako wanakusifia yeye anayachukia ndo mana yale anayoyasifia yeye haujawahi kusififiwa na wenzako cos ungetuambia.
ukitaka kuamini vaa gunia la kushona uone atakavyokusififia na siku nyingine vaa...
Mmh! kiukweli mpaka sasa cjasikia kuita kwa zile za mwanzo sasa cjui wanataka kuunganisha zote au wamewaita kwa sm? lakini kuhusu kutangaza kwa kweli sijapata ziona,
Ila tujitahidi kuziangalia mara kwa mara tutakapoziona tusikose kupeana taarifa humuhumu.
Naomba kujua DFP ni nzuri kwa matatizo ya meno? mana ninapata wasiwasi kwa kuwa ile iliyotoka mwanzo kabisa kwenye miaka ya 2004/5 ilikuwa nzuri na iliandikwa ni kinga kwa miaka 20 lakini hii ya sasa imeandikwa tumia kila baada ya miezi 6 so, naombeni ushauri kabla sijaitumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.